Hawa ndio walionyongwa kwa amri ya mahakama Tanzania, yajue makosa yao na Marais walioidhinisha adhabu zao

kambi7

JF-Expert Member
Jan 17, 2014
771
1,000
hahah
Wewe mwongo sana. Kama hujui unauliza. Tena acha kabisa ujinga wa kusema uwongo hapa. Watu wamenyongwa na nguo zao zimerudishwa majumbani kwao halafu wewe unasema ni wawili. Nyerere alinyonga wawili, awamu ilyofuata ilikuwa kiama!.

Tena acha upuuzi kabisa.
ahahahhahahahahahhaha
 
Criterion

JF-Expert Member
Jan 8, 2008
10,880
2,000
Kwa nini umenitukana. Sijatukana wala, Ulaaniwe wewe na uzao wako.

Huna ubavu wa kumlaani aliyebarikiwa. Na isitoshe upumbavu siyo tusi bali ni ujinga uliokithiri. Hakuna mtu asiyekuwa mpumbavu atakeytaka list ya walionyongwa as if ana namna ya kuverify.

Laana hizo na ziwe juu ya kichwa chako wala si kwa watoato wako. Na sasa utajua madhara ya kuparamia watu usiowajua.

Pumbavu!
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
27,964
2,000
Huna ubavu wa kumlaani aliyebarikiwa. Na isitoshe upumbavu siyo tusi bali ni ujinga uliokithiri. Hakuna mtu asiyekuwa ******** atakeytaka list ya walionyongwa as if ana namna ya kuverify.

Laana hizo na ziwe juu ya kichwa chako wala si kwa watoato wako. Na sasa utajua madhara ya kuparamia watu usiowajua.

Pumbavu!

Utslaaniwa wewe na uzao wako. Utslaaniwa nakuapia
 
kijana wa leo

JF-Expert Member
Nov 28, 2011
2,828
2,000
Wewe mwongo sana. Kama hujui unauliza. Tena acha kabisa ujinga wa kusema uwongo hapa. Watu wamenyongwa na nguo zao zimerudishwa majumbani kwao halafu wewe unasema ni wawili. Nyerere alinyonga wawili, awamu ilyofuata ilikuwa kiama!.

Tena acha upuuzi kabisa.
Mbwembwe mbaya sana, maneno meeengi unashindwa kutaja hata mmoja, mwenzako kataja wawili
 
KVM

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
1,842
2,000
Wewe mwongo sana. Kama hujui unauliza. Tena acha kabisa ujinga wa kusema uwongo hapa. Watu wamenyongwa na nguo zao zimerudishwa majumbani kwao halafu wewe unasema ni wawili. Nyerere alinyonga wawili, awamu ilyofuata ilikuwa kiama!.

Tena acha upuuzi kabisa.

Taja mmoja tu
 
NANGA WA DEPO

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
824
1,000
Kwa wale wasiojua katika historia ya adhabu ya kunyongwa Tanzania ni watu wawili tu walionyongwa. Ni wengi waliohukumiwa kifo ila hawajanyongwa wote.

Wafuatao na matukio yao ndio ninaowajua kunyongwa:

1. Said Mwamwindi, mkulima wa Iringa. Aliimuua aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Iringa Dk. Wilbert Kleruu mwaka 1971 Desemba 25. Inadaiwa RC alimgombeza Said mbele ya wake zake kwanini anafanya kazi siku ya sikukuu, ilikuwa ni Krismasi na Jumapili. Huyo mkulima akampiga risasi RC.

2. Mtanzania mwenye asili ya Asia aliyeifanya ajali kwa makusudi na kumuua mkewe ili alipwe bima ya gari lake lililokuwa na hitilafu kubwa na la zamani.

Hawa wote wamenyongwa kwa idhini ya Mwl. Nyerere.

Hawa ndiyo ninaowajua na sikuckia wengine. Mwenye kuongeza au kurekebisha hii historia atusaidie tujifunze.
Source
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom