Heaven on Earth Platinum Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,233 Reaction score 26,753 Jul 24, 2013 #321 dismynder1 said: mama toba roho yangu Eli79 kumbeeeee?!!nikae mbali kuepusha damu yangu kunyonywa mie khaaa!! Click to expand... we si ulikuwa unalilia ofa zake wewe....... leo kasema anataka kukupa hiyo ofa sasa
dismynder1 said: mama toba roho yangu Eli79 kumbeeeee?!!nikae mbali kuepusha damu yangu kunyonywa mie khaaa!! Click to expand... we si ulikuwa unalilia ofa zake wewe....... leo kasema anataka kukupa hiyo ofa sasa
Lady doctor JF-Expert Member Joined Apr 13, 2013 Posts 8,756 Reaction score 7,005 Jul 24, 2013 #322 figganigga said: Inamaana hadi saa hizi hujamfikishia tu? mbona m pesa nimetuma kitambo sana?. Heaven on earth huyu wifiyo kanistua.kama vipi tumuachie azifuatilie huduma kwa wateja. mimi ntakupa cash mwenyewe ili uweza pata hug nafsi yako iburdike. mia Click to expand... ile ilikuwa ya mtumaji bana, nasubiri ya mtumiwaji..... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
figganigga said: Inamaana hadi saa hizi hujamfikishia tu? mbona m pesa nimetuma kitambo sana?. Heaven on earth huyu wifiyo kanistua.kama vipi tumuachie azifuatilie huduma kwa wateja. mimi ntakupa cash mwenyewe ili uweza pata hug nafsi yako iburdike. mia Click to expand... ile ilikuwa ya mtumaji bana, nasubiri ya mtumiwaji.....
figganigga Platinum Member Joined Oct 17, 2010 Posts 27,624 Reaction score 62,457 Jul 24, 2013 #323 Lady doctor said: ile ilikuwa ya mtumaji bana, nasubiri ya mtumiwaji..... Click to expand... basi poa. nakuomba umfuate wifiyo Heaven on earth kila anapoenda. nahofia asije kuibiwa. ntakutumia m pesa nyingine. mia Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Lady doctor said: ile ilikuwa ya mtumaji bana, nasubiri ya mtumiwaji..... Click to expand... basi poa. nakuomba umfuate wifiyo Heaven on earth kila anapoenda. nahofia asije kuibiwa. ntakutumia m pesa nyingine. mia
KOKUTONA JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 8,651 Reaction score 6,110 Jul 25, 2013 #324 Eli79 said: Naniii???? wana wenyewe hao... katika list ya mabilionea wa JF mi simo bana.. Tafuta saiz yangu Click to expand... Kwi kwi kwii...hela inatafutwa kaka.
Eli79 said: Naniii???? wana wenyewe hao... katika list ya mabilionea wa JF mi simo bana.. Tafuta saiz yangu Click to expand... Kwi kwi kwii...hela inatafutwa kaka.