TheDealer...naona umeniita kuliko?
Nini kinaendelea hapa TheDealer..
Kaka kasomee kale kauzi ka hapo juu! halafu chungulia neno lililo bold, halafu kumbuka ule uzi wa Bishanga kuhusu capo feki na ukweli, umenipata Kipaji Halisi! ssshhshshshsshshsh usimwambie mtu, nakunong'oneza tu hapa! mwambie na mgeni mwenzio Fixed Point! sawa! nenda sasa kimya kimya!
Salaam!
Namnukuu Invisible
''..........Chit Chat imekuwa ikitumika kama njia ya kutafuta WACHUMBA, kuunganisha marafiki na kukuza ujamaa kati ya baadhi ya members...........Wana Chit Chat hili jukwaa linaweza kuonekana ni sehemu ya mzaha na lisilo na tija! Hii sio sahihi!..........". Mwisho wa kunukuu.
Wageni wa CC! TheDealer, @fiexd point, Kipaji Halisi, Eli79!
Mkongwe wa CC! Bishanga!
Imekula kwangu!
jamani TheDealer kwani ni serious!!!!!!
au chitchat ina maana gani
Angalia hapo kwenye underlined, wewe kumbe ulijua hapa ni stree free zone pekee? mm pia nilikuwa najua hivyo! kumbe wewe na UNDENIABLE mlikuwa mnafanya masikhara!
mie mwenyewe najuaga hivyo,lakin ukipata mchuba
huku sidhani kama ni mbaya!!!!!!!
mie na UNDENIABLE yake yalikuwa masikhara,nothing serious.....
Ok!
ila shemu kubwa nilikuwa najua masikhara ndio maana nilikuwa nadondosha moyo tu kwa kila apitaye! kumbe ipo serious to some extent!
wasiwasi!
naweza kupata mchumba seroius huku halafu siku tukizinguana anaweza kusema, aaaaah usinizingue babu wee kwanza tulikutana chit chat tuachane ki-chit chat! hapo sasa kazi inakuwa kubwa sana!
Eli79 mimi naweza kuwa chaguo sahihiNaniii???? wana wenyewe hao... katika list ya mabilionea wa JF mi simo bana..
Tafuta saiz yangu
huyo hakuwa serious.....
mtu serious hawezi kutoa majibu ya hivyo