[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we mzee wa tunguri naona umekuja kivingine
Kongamano la kilingeni au lingine mkuu[emoji1] [emoji1] [emoji1] si kwenye kongamano utakuwepo?
Mgosi umenifurahisha sana [emoji106][emoji23][emoji16]
Hahahaa nipe ratiba na muda mkuuSahihi kabisa hilohilo
Ngoja niende kwa bibi nikachek usafiri kama bado upoUsijali