Mkuu me sina kadi ya kwenye kongamano[emoji1] [emoji1] [emoji1] si kwenye kongamano utakuwepo?
nimecheka sana hapo kwenye samaki kuzama!;
Duuh cheti kimeungua alaf atakayekiona aripoti kituo cha polisi,si bora wangesema uripoti kituo cha zimamoto waje wachukue majivu.Ongeza na hiiView attachment 777668
mamaqe walai[emoji23][emoji23][emoji23]Ongeza na hiiView attachment 777668
Mauoga for change (M4C)[emoji106]
Sure lakini unajua mwisho una viashiria vyake!Wasted energy