Hawa ndio mabinti wa karne.

Hawa ndio mabinti wa karne.

DEVINE

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2011
Posts
536
Reaction score
87
Inasemekana..mabint wa miaka ya 1960 walikua wakisema hv "LOV ME BUT DONT TOUCH ME"na wa miaka ya 1970 walikua waksema "TOUCH ME BUT DÖNT KISS ME" na miaka ya 1980 "KISS ME BUT DONT DO ANYTHING"miaka ya 1990 "DO EVERYTHINGBUT DONT TEL ANYONE" wakat mabint wa miaka ya 2000 wametoa kali kuliko wanasema "DO EVERYTHINGOTHERWISE I WIL TELL EVERYBODY DAT U KNOW NOTHING"
assume baada ya miaka 20 watasemaje.
 
Je ni nani amewafikisha hapa hawa mabinti wa siku hizi??????
 
after 20 itakuwa hakuna tena chakufanya maana vyote vimefanyika kwenye 20s
 
Dont ask me anything, do every thng ,then leave 4others
 
watasema sio huko bwana ni huku kilimo kwanza ww vp hujui nini?
je wanaume wa miaka hiyo walisemaje na wanasemaje?
 
watasema if you want to touch me, 1st receive Jesus Christ as Lord and your personal saviour.
 
Back
Top Bottom