NGULI
JF-Expert Member
- Mar 31, 2008
- 4,803
- 637
ahahahaha....kioo cha jamii V/S maisha binafsi....patamu hapo. tatizo hapa sio prof asiwe na maisha yake...ila maisha yake ya-reflect heshima na wajibu wake kwa jamii inayomuheshimu. Nani kati yetu hajui umuhimu wa ma-professor kwa maendeleo ya nchi yoyote ile duniani??...hawa ndio wazee wa kupekua vitabu na kufanya reserches zinazoipelekea nchi kuwa na ustawi bora wa maisha ya watu wake..wanabeba DHAMANA kubwa sana kwa maendeleo ya nchi.
Maisha binafsi yana mipaka kulingana na majukumu ya mtu katika jamii ile...kwa upande wa prof. ni mwalimu wa watu so tunatarajia matendo yake yawe pia elimu kwa watu ..awe mfano wa kuigwa...tuige nini sie wanafunzi wake katika hayo afanyayo???..
Kijana una nini na Mimi? kati ya hawa wanawake nilioko nayo 1 ni wako au ndg yako hupendi awe na mimi?