OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,231
- 103,858
Hakuna kiongozi wa kisiasa anayegombea bila kutoa rushwa. Hayupo hata mmoja awe wa CCM au upinzani. Tofauti ni kwamba mtoaji ametoa kiasi gani na kwa nafasi gani lkn wote ni watoa rushwa.Kamati kuu imeshaishiwa pumzi walitegemea rushwa ingetolewa na makapuku. Shida hiki kipindi wenye tuhuma ni wake za Marais wastaafu, watoto wao, wabunge waandamizi, makada na watoto wa mageneral wa jeshi. Kazi kwenu KAMATI KUU kupasua mtungi na kuumua nyoka au muuinamishe halafu nyoka atoke auawe.
Unaweza kukuta hapo kuna wajumbe wa KK ambao wameshapokea bahasha. CCM hawaaminiki tenaCCM sio Tena chama Cha wakulima na wafanyakazi, Sasa ni chama Cha majangili Kama yule aliyekutwa na lundo la silaha na bado amepitishwa kwa kura nyingi kugombea ubunge.
Sisiemu ifyeke mijitu ya aina hii