"dady why are u afraid of him is he the boogeyman"kuna mmoja anaitwa JW. JOHN WICK nii shida huyo mtu
Mkuu hiyo Mitambara yote ni noma,Jamaa namkubali sana.Jason bourne jina lake halisi ni Mathew Paige Damon au Matt Damon
Jamaa ni kisanga aisee, katazame hizi movie alafu njoo hapa tuzungumze
- the bourne identity (2002)
- the bourne supremacy (2004)
- the bourne ultimutum (2007) na
- the bourne legacy (2012)
Huyo ni hatari fireee
Baba yega"dady why are u afraid of him is he the boogeyman"
"-no he is not...he is the one who killed boogeyman"
nasubiri ya tatu nione mziki wake
24hrs au 24 legacyNamuona mzee wa mirror hapo na 24
BAD thing ni kuwa zote nimeziona, huyo mtu ni habari nyingine, ni mchaka mchaka mwanzo mwisho, nafikiri zaidi ya ule wa kwenye B13.Jason bourne jina lake halisi ni Mathew Paige Damon au Matt Damon
Jamaa ni kisanga aisee, katazame hizi movie alafu njoo hapa tuzungumze
- the bourne identity (2002)
- the bourne supremacy (2004)
- the bourne ultimutum (2007) na
- the bourne legacy (2012)
Huyo ni hatari fireee
Kuna sehemu nilisoma walikuwa na mgogoro ikabidi waimalize kimtindo. Jack Bauer akaenda zake kwenye series ya Designated survivor......Sikupenda ilivyoisha 24
Ni 24 hrs. 24 legacy ilitoka season moja tu kifo cha mende. Nilifurahi kumuona jamaa anaitwa Tony Amelda24hrs au 24 legacy
Hii 24hrs huwa inanishinda kabisa kuangalia naona inaniboa! Nyie mnawezaje?! Au nianzie season ya ngapi?Ni 24 hrs. 24 legacy ilitoka season moja tu kifo cha mende. Nilifurahi kumuona jamaa anaitwa Tony Amelda
Kila season ina complete story. Itapendeza kama utaanza mwanzo. Ni nzuri sanaHii 24hrs huwa inanishinda kabisa kuangalia naona inaniboa! Nyie mnawezaje?! Au nianzie season ya ngapi?
JB MPIANAJames Bond
Jason Bourne
Jack BauerView attachment 1116756View attachment 1116757View attachment 1116758
Hii 24hrs huwa inanishinda kabisa kuangalia naona inaniboa! Nyie mnawezaje?! Au nianzie season ya ngapi?