Hawa ndio Freelancer wa Postal Bank

Hawa ndio Freelancer wa Postal Bank

Mm nimeacha hiyo kaz last week.coz mwez mzima nilileta wateja 39.dah wakuu nikaambulia buku tatu tu.then wakakata kodi nikabakiwa na buku mbil.nililia sana kesho yake sikumuaga mtu nilisepa.walivyonipigia simu nukawatukaaaana mpaka bas

buku 2 !!..bora nikaendelea kulala zangu nyumbani tu..pole kwa kulia
 
buku 2 !!..bora nikaendelea kulala zangu nyumbani tu..pole kwa kulia

Kibaya zaid hiyo pesa wameweka kwenye acc ya bank ambayo wanakulazimisha ufungue post bank.sasa hapo nitatoa nn kwenye ATM.moyo unaniuma sana
 
Jamani wana JF, nilifanikiwa kupita katika mojawapo ya mikataba ya waliopata nafasi ya freelancer ya postal bank, haya ni baadhi tu niliyoyaona kwenye mkataba. Nitanukuu baadhi ya vipengele ni hatari.

Relationship;
"The freelancer shall work as an independent contractor without creating any employer- employee relationship whatsoever with TPB"

Benefits;
"The obligation to pay income tax and any kind of tax on such commissions paid is the responsibility of the freelancer"

"""The freelancer is not eligible on the TPB benefits which are provided to TPB employees"""""'

Termination:
"This Agreement can be terminated by either party giving 7 days written notice or by mutual agreement from both parties. However TPB reserves the right to terminate the agreement without notice at its sole discretion."


Njoo sasa kwenye commission yenyewe.

Sales Commisssion:

" freelancer will receive TZs 100,000 as commission upon reaching a target of 40 new acconts. the commission structure is elaborated well in the table below.
[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]From[/TD]
[TD]to[/TD]
[TD]sales commission[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]40[/TD]
[TD]Above[/TD]
[TD]100,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]20[/TD]
[TD]39[/TD]
[TD]50,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1[/TD]
[TD]19[/TD]
[TD]1,000[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

mwisho.

"Freelancer will be responsible of all the documentation and permits required by law to operate as a freelancer in accordance with TPB. All documentation costs will be the responsibility of freelancer".

Je, kwanini TPB wachezee akili za watoto wa masikini.

Nitaendelea klima mahind mpaka siku kitaeleweka. Ujinga kama huu wa kuwamalizia graduate damu mwilin sitoufanya. Go to hell PTB kumpafu sana
 
Hiyo kazi wameitoa zantel,nilishawahi fanya kazi na Zantel!! Nilijuta kuzaliwa!!
Nilikua nasaka wateja kwa miguu,zen ukipata mteja unalipwa kwa commission,ukipata mteja wa kutumia line ya Zantel unam-connect zen,zen ile line unaipiga code flan hv,mteja akiwa anatumia voucher kuna % zinaenda kwenye ile code,zen mpunga unaenda kwenye account yako!!

Je mteja asipotumia hiyo line utapata how much? Nilipata wateja zaidi ya Mia!!

Mwesho wa mwezi nikalipwa Tshs 200/ tena ipo bank,hata kuitoa huwezi!!
 
Poleni sana ndugu zanguni. ....yaani naona kila siku inayoenda kwa mungu maisha ya bongo yanakuwa magumu sana.
 
Poleni sana ndugu zanguni. ....yaani naona kila siku inayoenda kwa mungu maisha ya bongo yanakuwa magumu sana.

Hawa wanatumia tatizo la ajira kwa vijana kujinufaisha kibiashara tu,na kwa vile hakuna wa kuwatetea ndio inakuwa kilio cha samaki!!na ndio maana kazi zao nyingi wanataka wakulipe kwa commission kwa vile wanajua kwa % wanayoweka lazima utapata chini ya kiwango cha mshahara wa kima cha chini.juzi kuna kijana nilikutana naye ni miongoni mwa hao hadi anatia huruma kiatu hicho ni zaidi ya buti la askari ili kubana matumizi ya sole kuisha anasema ametembea toka mtongani hadi mbagara kuu!!!
 
kama ni kweli na hakuna namna huyu mtu analipwa tena kipato kizuri, TPB mnacheza mchezo wa katuni.au hizi ndo zile huduma zakulia hela ili kumpiga chenga CAG anapokagua mwajitetea '' TUMETUMIA MILIONI MIA KUTANGAZA HUDUMA MPYA NA IMEPELEKEA BENKI KUPATA WATEJA WAPYA WENGI" HATUELEWIELEWI KAMA NDIVYO ILIVYO..
 
Tatizo mnapenda mno kazi za kuvaa tai na kupiga porojo,huku Uswazi natengeneza buku 10 kila siku kwa kukaanga mihogo na kuchoma mahindi,siri ya mafanikio ni kuacha aibu chumbani,wengi wanaoana aibu eti ah mi nichome mahindi au ah nikaange chips dume,matokeo yake mnaambulia buku moja baada ya msoto wa kutafuta watu 19,kwanza kumpata hata mtu 1 wa kujiunga na hiyo Saccos oh samahani Benki ni shida ,sembuse watu 19.
 
hiyo kaz ya unyanyasaji me ckutaka hata ku-sain ki mkataba chao. upuuz tuu.
 
Thread imenisikitisha sana hii.
Vijana wenzangu inabidi tubadili mbinu sasa.
Kutegemea kuajiriwa tuu ni hedache. Waajiri wanatumia advantage ya tatizo la ajira kuwanyonya vijana.
 
Utumwwaaaaa hivi na wewe kweli unaenda kufanya kazi hii hizi ni, dharau
 
inamilikiwa na serikali kwa asilimia 75, serikal ya zanzbar ina share, na umoja wa wafanyakaz wa shirika la post wana share ila ni ndogo sana.

Serikali 83% hisa 9,228,565
SMZ 3.6% hisa 397,029
Shirika la posta 10% hisa 1,113,217
Tpc/ttcl saccoss 3.1 hisa 348,450
huo ndio mgao kwa mujibu wa hesabu za 31/12/2013.
 
Naomba mtu yeyote anayeweza kupata contacts za wabunge vijana especially john mnyika tumpe hili alitable bungeni kipindi hiki
 
Bora niendelee na biashara yangu ya kuuza nguo na ufugaji wa kuku!! Kulikoni kufanya kazii kama hiziii...hata kama nna chet aisee...huu ni zaidi ya unyonyaji
 
They arent serious bora hata bank yenyewe ingekua crdb coz ipo popote na kumshawishi mtu kufungua ni rahisi sasa hao tpb atm yenyewe unakuta ni moja kwa mkoa mzima.
 
Ndio maana niliikacha akaunti yangu kwenye benki hii; ni wapuuzi sana! Na kwa ujinga na unyonyaji huu wasitegemee kupata customers. Na watafulia sana
 
Hiyo kazi wameitoa zantel,nilishawahi fanya kazi na Zantel!! Nilijuta kuzaliwa!!
Nilikua nasaka wateja kwa miguu,zen ukipata mteja unalipwa kwa commission,ukipata mteja wa kutumia line ya Zantel unam-connect zen,zen ile line unaipiga code flan hv,mteja akiwa anatumia voucher kuna % zinaenda kwenye ile code,zen mpunga unaenda kwenye account yako!!

Je mteja asipotumia hiyo line utapata how much? Nilipata wateja zaidi ya Mia!!

Mwesho wa mwezi nikalipwa Tshs 200/ tena ipo bank,hata kuitoa huwezi!!

acha utani 200 au laki 2.!
 
Back
Top Bottom