Hawa nani jamani

usijal mkuu

ila mwanzoni kama ulinipitiliza mm kwenye kile kizazi cha zamani, sahvi naona umejipitiliza wewe.

anyhow ili usikae hapa kati tu
Hahahaa wewe tu ulivyotafsiri
 
Hahaa kwani kids ndo kigezo cha utu uzima? Kuna watu huwa wanazeeka hadi wanakufa hawajawahi kunyonyesha
Wewe sio rahisi kihivyo, yaani mpaka mtu anazeeka hajawahi kunyonywa? mbona wanyonyaji tuko wengi tu?
 
Bila kutaja WANAUME WA DSM siku yako haikamiliki.......hao watoto wako Dar sasa hivi wanang'aa huwezi amini kama ndio walikuwa huko kijijini kwenu! Na hawarudi ng'o mtabaki kulialia tu wakija mjini wanawapiga chini!
Na wakienda vijijini kusalimia wanakimbiwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…