Hawa Mods wa JF HATARI........!!

Hawa Mods wa JF HATARI........!!

Duh platozoom mzee wa majimama ni Bishanga na BAGAH
hahahaa hivi lile dude lako la kwa macheni mshaachana?
Erickb52 Hata my sweet anajua niliisha acha ubazazi, kazi ni kwako..........vipi huyo mdigo mambo yake... nasikia anatia iliki hadi kwenye maji.......unabebwa kupelekwa bafuni.........unalishwa huku unaimbiwa taarab..........Hurudi A-Town wewe
 
Last edited by a moderator:
CUTE mseme huyo jamaa for your own risk
worry not it wont happen again!
kwanza mm ndio nilimualika bada ya sobhuza kumuacha mbele ya wana JF wote ivo kwa huruma zangu ndio akaja huku ambako sasa unakuona kama threat kwako ..ondoa shaka am happy she has u mana hata mm nilikua natakafuta jinsi ya kumtimua nilikua sina ingawa nasikia alitoka na kibendi ..alafu nina uhakika alikuja kumtega ivuga kwa makusudi huyucharminglady we muache
fazila zake kaondoka na kibendi
 
Umezunguka weee lakini najua nia yako..ni kuona mimi na CHARM wangu tunafarakana....Koma ukomae we baki na fataki lako saintivuga .................Na kwa taarifa yako tumbo lake jeupee
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom