Hawa mbuzi wanashangaza sana!!

Hawa mbuzi wanashangaza sana!!

Umewaona na Hawa[emoji116]
Wanakwea miti Kama nyani[emoji4]
images-936.jpg
images-937.jpg
images-935.jpg
 
Hawa mountain goats wana maajabu yao kwa sababu ya hali wanayoishi

Wapo wale wa Cingano Dam Italy wao walikuwa wanaishi kwenye milima ila binadamu walipotengeneza Dam karibu yao wakawa wanapanda pia ili kwenda kulamba chumvi chumvi ya hayo mawe

Ni risk ila ndio hivyo tena maana unakuta wengine wanapigana na kuanguka
IMG_6506.jpg

IMG_6505.jpg
 
Kama unafikiri mbuzi hana akili mweke kwenye ghorofa ya nne ambayo haina guard afu uone kama atajitupa chini kwa kuruka au atatelemka na ngazi 🤣🤣🤣🤣 au mfungie kwenye banda lenye plate moja kiepe yai na nyingne makande uone utakuta plate ipi iko waz........

Wanaakili sana wale mpaka kucheka wanacheka na umbea juu (wanaongozwa na silika ....instinct)

Instict sio Akili, Akili ni ile inayosaidia kufanya judgments, instinct ni built in character ya wanyama, mfano mnyama anapopambana kumtetea mtoto wake hapo huwezi sema kwamba anayohuruma sana kwa mwanaye bali anaongozwa na instinct lakini binadamu anapopambana kumtetea mwanaye yeye haongozwi na instict bali anaongozwa na moral na akili nk,
 
Mbuzi anazo akili sana kama sivyo angekuwa akitoka machungani anaenda kwenye nyumba nyingne 🤗🤗🤗🤗🤒🤒🤕.....lkn n tofauti na hawa mbuzi wa hapa mtongani ambao wanajichunga wenyewe tena hata wakitaka kuvuka barabara wanaangalia kulia na kushoto ndo wanavuka wanakata mitaa wee mwisho wa sku lzma warud home kwao hawapotei wanayo (cerebrum ) labda useme inafikir kwa kiwango cha chini tuu
 
Hawa mountain goats wana maajabu yao kwa sababu ya hali wanayoishi

Wapo wale wa Cingano Dam Italy wao walikuwa wanaishi kwenye milima ila binadamu walipotengeneza Dam karibu yao wakawa wanapanda pia ili kwenda kulamba chumvi chumvi ya hayo mawe

Ni risk ila ndio hivyo tena maana unakuta wengine wanapigana na kuanguka
View attachment 2213893
View attachment 2213894
Aisee,wana uwezo wa ajabu sana,ukiangalia jinsi walivyojishikiza hapo inastaajabisha
 
Mbuzi anazo akili sana kama sivyo angekuwa akitoka machungani anaenda kwenye nyumba nyingne 🤗🤗🤗🤗🤒🤒🤕.....lkn n tofauti na hawa mbuzi wa hapa mtongani ambao wanajichunga wenyewe tena hata wakitaka kuvuka barabara wanaangalia kulia na kushoto ndo wanavuka wanakata mitaa wee mwisho wa sku lzma warud home kwao hawapotei wanayo (cerebrum ) labda useme inafikir kwa kiwango cha chini tuu

Instinct ni natural tendency na sio akili akili ni ile inayokupa judgements, mfano ukipanda mmea ndani ya chombo kilichoziba na kwa nje utoboe tundu linalopitisha nuru baada ya siku kadhaa huo mmea mmea utafuata hilo tundu na utajitokezea hapo kwenye tundu, je kitendo hicho cha mmea utakiita ni akili au natural tendency??
 
Ipo hivi; Akili na maumbile katika mazingira husika ndio hujenga hofu au kujiamini kwa binadamu, mnyama hana akili kama ya binadamu na maumbile yake katika mazingira hayo yanam favour asiwe na hofu,---- hao mbuzi hawana akili/uwezo wa kukadiria huo umbali kutoka juu hadi chini, ni binadamu tu ndiye mwenye huo uwezo.
Kama nimekuelewa unamaanisha mnyama hana hofu,au hana uwezo wa kujua hiki ni hatari,kwanini akiona mnyama hatari anakimbia?
 
Back
Top Bottom