Hawa mbuzi wanashangaza sana!!

Hawa mbuzi wanashangaza sana!!

Kama nimekuelewa unamaanisha mnyama hana hofu,au hana uwezo wa kujua hiki ni hatari,kwanini akiona mnyama hatari anakimbia?

Anakimbia kwasababu anaendeshwa na NATURAL TENDENCY kwamba jambo fulani ni hatari hiyo sio akili, mwenye akili ni binadamu tu na sio wanyama---- ni sawa na maji ukiyamwaga chini yatatiririka kuelekea chini hiyo ni natural tendency yake wala huwezi kusema eti maji yanayo akili ndio maana yanatiririka kuelekea chini mabondeni kujaza mito, mabwawa na maziwa.

Natural tendency kwa wanyama ndio instincts /silika.
 
Bosi hiyo unayoiita akili inakaa ktk sehemu gani ya mwili?
 
Bosi hiyo unayoiita akili inakaa ktk sehemu gani ya mwili?

We unadhani akili ni kiungo kama mkono nk, katika mwili wa mtu??-- inaposemwa mtu fulani ana kichaa je waweza kuuliza kuchaa kinakaa wapi?? Kinakaa kwenye ubongo kama akili inavyokaa kwenye ubongo.
 
Instinct ni natural tendency na sio akili akili ni ile inayokupa judgements, mfano ukipanda mmea ndani ya chombo kilichoziba na kwa nje utoboe tundu linalopitisha nuru baada ya siku kadhaa huo mmea mmea utafuata hilo tundu na utajitokezea hapo kwenye tundu, je kitendo hicho cha mmea utakiita ni akili au natural tendency??
Iyo ni geotropism ni kawaida n sawa na ww kukua kwa kwenda juu
 
Iyo ni geotropism ni kawaida n sawa na ww kukua kwa kwenda juu

Ni Phototropism, Geotropism ni mizizi kwenda chini.

Kwahiyo unakubaliana na mimi kwamba hata mtu kukua mwili kwenda juu ni natural tendency kwani mtu hakui kwenda juu au kunenepa nk, kutokana na utashi wa nafsi yake yaani kutokana na akili yake.
 
swali wanapandaje sio sual la kujua hatari au la
Ipo hivi; Akili na maumbile katika mazingira husika ndio hujenga hofu au kujiamini kwa binadamu, mnyama hana akili kama ya binadamu na maumbile yake katika mazingira hayo yanam favour asiwe na hofu,---- hao mbuzi hawana akili/uwezo wa kukadiria huo umbali kutoka juu hadi chini, ni binadamu tu ndiye mwenye huo uwezo.
 
Huko mbali muweke juu ya bodi ya gari bila kumfunga uone Kama ataruka
Kama unafikiri mbuzi hana akili mweke kwenye ghorofa ya nne ambayo haina guard afu uone kama atajitupa chini kwa kuruka au atatelemka na ngazi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] au mfungie kwenye banda lenye plate moja kiepe yai na nyingne makande uone utakuta plate ipi iko waz........

Wanaakili sana wale mpaka kucheka wanacheka na umbea juu (wanaongozwa na silika ....instinct)
 
Ni Phototropism, Geotropism ni mizizi kwenda chini.

Kwahiyo unakubaliana na mimi kwamba hata mtu kukua mwili kwenda juu ni natural tendency kwani mtu hakui kwenda juu au kunenepa nk, kutokana na utashi wa nafsi yake yaani kutokana na akili yake.
Nilikuwa sijaona vzur kumbe kuna nuru hapo nikafkr tund la chin ya kopo kwenye miziz
 
Back
Top Bottom