Hao wapo kwenye mazingira yao ya asili sio photoshootNi wapi huko?? Isije kua wamepelekwa photoshoot tu.
Wanawezaje kupanda juu hivi huku wakiwa wamerelax kabisa?
Wanawazidi hata tumbili[emoji205]
View attachment 2212900View attachment 2212901View attachment 2212903
Kama unafikiri mbuzi hana akili mweke kwenye ghorofa ya nne ambayo haina guard afu uone kama atajitupa chini kwa kuruka au atatelemka na ngazi 🤣🤣🤣🤣 au mfungie kwenye banda lenye plate moja kiepe yai na nyingne makande uone utakuta plate ipi iko waz........Ipo hivi; Akili na maumbile katika mazingira husika ndio hujenga hofu au kujiamini kwa binadamu, mnyama hana akili kama ya binadamu na maumbile yake katika mazingira hayo yanam favour asiwe na hofu,---- hao mbuzi hawana akili/uwezo wa kukadiria huo umbali kutoka juu hadi chini, ni binadamu tu ndiye mwenye huo uwezo.
Hata mimi niliona kupitia channel ya National geographic.Niliwahi ona documental kuwahusu. Nilishangaa na kustaajabu. Labda ni kayafaz wa ulaya. Haaaaaa
Unamaanisha mpaka anapanda hapo hajui kwamba yuko juu na ni hatari huko?Ipo hivi; Akili na maumbile katika mazingira husika ndio hujenga hofu au kujiamini kwa binadamu, mnyama hana akili kama ya binadamu na maumbile yake katika mazingira hayo yanam favour asiwe na hofu,---- hao mbuzi hawana akili/uwezo wa kukadiria huo umbali kutoka juu hadi chini, ni binadamu tu ndiye mwenye huo uwezo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama unafikiri mbuzi hana akili mweke kwenye ghorofa ya nne ambayo haina guard afu uone kama atajitupa chini kwa kuruka au atatelemka na ngazi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] au mfungie kwenye banda lenye plate moja kiepe yai na nyingne makande uone utakuta plate ipi iko waz........
Wanaakili sana wale mpaka kucheka wanacheka na umbea juu (wanaongozwa na silika ....instinct)