Nimeshangaaa kusikia hawa wanaojiita Amnesty kwa ripoti yao inayo watetea wasagaji na mashoga naiona kuwa haina mashiko kwa nchi zetu asa za kiafrica,huu sio utamaduni wetu na hatuwezi kukubali kubuluzwa na mashirika ya nje eti tu ni haki za binadamu,sidhani kama watu wanamna hii wana haki,kwani haki zao wanaziondoa wao wenyewe kwa kukubali vitendo hivyo na wakitaka kupata haki hizo waache matendo yao maovu.
Sijui ni haki gani hizo wanazodai na ni nani anaziondoa?
Kwani mashoga na wasagaji siyo binadamu hadi utilie shaka haki zao za kuwa na haki kama binadamu wengine?
hata kama ni binadamu ila wanafanya vitendo ambavyo havikubaliki na jamii hasa ya kitz ndiyo maana ht hiyo ripoti yao imechapishiwa huko marekani
kama wanataka kutetea haki kwann wasitete hata haki za watoto wanaotumikishwa huko migodini, wanaofanya kazi za ndani nk...

Kwa hiyo kama havikubaliki tz wanapoteza haki by default setting?
Na mbona TZ serikali haikubali kukosolewa na watu bado wanadai haki ya kukosoa?
Na wote tukitetea haki za watoto nani atatetea haki zingine?
Havikubaliki kivipi wakati hayo mambo yapo tokea enzi na enzi? Na kukubalika na jamii ndo kukoje huko? Huwaga kuna vikao ambavyo jamii inakaa kukubali jambo?
Kwani nani kakuambia hawazitetei haki za hao watoto?
naona haujanielewa sijasema haki za watoto hazitetewi ila nmetoa huo kama mfano tu...
Najua hayo mambo yako tokea enzi ndo maana ht vitabu vya dini vilivyoandikwa kipindi hichooo vimezungumzia hukumu juu ya hao mashoga na wasagaji..
Pia naamini ww ni mtu mzima unaelewa hakuna jamii inayokaa kupigia kura codes of conducts mazingira ndo yanayotushape...
Kuwepo au kutokuwepo kwa mambo hayo haujalishi kwa kipindi ,na miaka mingapi? jambo la msingi hapa ni kuwa haya mambo hayakubaliki machoni mwa watu wasitarabu na wanaojua utu wao,kwani ata wanyama ambao hawajastarabika hawafanyi hivyo.uwepo wao sio uhalali wa kukubalika kwa matendo yao maovu.uovu ni uovu aijalishi umekuwepo tangu lini.
Shetani nae yupo tangu enzi na enzi lakini bado tunaendelea kupigana nae ata leo.
Ushoga na usagaji ni ni vitenda visivyokubaliwa na jamii ya binaadamu sawa na wizi na rushwa. Sasa kwa kua kuna wezi na wala rushwa kujaribu kushawishi jamii kuwakubali wezi na wala rushwa ni uovu mwingineHavikubaliki kivipi wakati hayo mambo yapo tokea enzi na enzi? Na kukubalika na jamii ndo kukoje huko? Huwaga kuna vikao ambavyo jamii inakaa kukubali jambo?
Kwani nani kakuambia hawazitetei haki za hao watoto?
Ushoga na usagaji ni ni vitenda visivyokubaliwa na jamii ya binaadamu sawa na wizi na rushwa. Sasa kwa kua kuna wezi na wala rushwa kujaribu kushawishi jamii kuwakubali wezi na wala rushwa ni uovu mwingine
Nimeshangaaa kusikia hawa wanaojiita Amnesty kwa ripoti yao inayo watetea wasagaji na mashoga naiona kuwa haina mashiko kwa nchi zetu asa za kiafrica,huu sio utamaduni wetu na hatuwezi kukubali kubuluzwa na mashirika ya nje eti tu ni haki za binadamu,sidhani kama watu wanamna hii wana haki,kwani haki zao wanaziondoa wao wenyewe kwa kukubali vitendo hivyo na wakitaka kupata haki hizo waache matendo yao maovu.
Sijui ni haki gani hizo wanazodai na ni nani anaziondoa?
Hizo ni jamii zilizopotoka. Nikuulize swali: Wewe ukisikia mwanao wa kiume anaingiliwa kingono na wanaume utaona ni sawa tu? Kama wewe ni shoga utatamani mwanao pia awe shoga? Huoni kama role ya uke na ume kwenye ngono ni marufuku tangu uumbaji kuchanganywa? Sisema kuwatendea mashoga ukatili ni sawa, lakini ni haki ya jamii kuwatenga kwa kua tabia yao haikubaliki na jamii. Yapo mambo hayakubaliki na desturi mila na dini zote. Ushoga ni mojawapo. Ushoga ni jambo la aibu na usitarajie jamii popote kukubali kama tabia ya kawaida.Jamii ya Afrika Kusini inakubali ndoa za kishoga. Argentina huko wanaruhusu ndoa za kishoga. New Zealand nako wanaruhusu. Na sehemu nyingine nyingi tu wanaruhusu.
Je, jamii za hao wanaoruhusu si za kibinadamu?
we mzee utapigwaCUF wanasemaje kuhusu ilo?