Kashazoea kinyago wamekichonga wenyeweHuyo namba 2 sijui kama anastahili ku2a refa wa Ligi Kuu.
Leo nimeangalia mechi ya Prisons vs Utopolo kafnya makosa mengi ya kiuamuzi.
Unateseka ukiwa wapi kolo?Huyo namba 2 sijui kama anastahili ku2a refa wa Ligi Kuu.
Leo nimeangalia mechi ya Prisons vs Utopolo kafnya makosa mengi ya kiuamuzi.
Huyu Alajiga aliwahi kufungiwa kwa rushwa , ameacha lini kula rushwa huyu ?
Jonesia RukyaJonista Inkya
Shida ni unaangalia mpira ili Yanga ifungwe........au unaangali mpira ili simba afungwe....hapo utalalamika kila siku kma una mimba changa.......rekebisheni timu zenu hutalalamikia mtu sawa we koloHuyo namba 2 sijui kama anastahili ku2a refa wa Ligi Kuu.
Leo nimeangalia mechi ya Prisons vs Utopolo kafnya makosa mengi ya kiuamuzi.
Mkajifunze kozi za uamuzi ili mje kuchezesha kwa haki. Kulalamika tu pasipo kuchukua hatua sahihi ni umbumbumbu +Siyo kwa ubaya, wala si kwamba hawajui kazi ya urefarii!
Lakini ukweli ni kwamba maamuzi yao yamekuwa yakigumbikwa na makandokando mengi kwenye mechi zinazovuta masikio ya wapenzi wrngi!
Ukiona marefarii wafuatao wamepangwa kuamua mechi kubwa nakushauri zima TV ukalale!
1. Jonesia Rukya
Huyu mama ni bonge la refa lakini siku za hivi karibuni tayali kashaingia kwenye mfumo! Hutumika sana kuamua mechi kubwa za maelekezo.
2. Ahmed alajiga
Huyu mnyaturu ni refa mzuri lakini mfumo unamtumia sana kuamua mechi
3. Kayoko!
Huyu naye kashaingia kwenye mkeka hatakiwi kuamua mechi kubwa!
Mbinu wanazozitumia kuharibu mchezo
1. Kuwapa Yellow card mapema key player wa timu inayotakiwa kufungwa
2. Kuwa frastulate wachezaji pasiposababu ya msingi!
(Yaani katika watu ambao huwa wanagundua mapema kwamba refa kapangwa huwa ni wachezaji, mchezaji anapewa kadi ya kuonewa huwa inamkata kabisa stimu ya kucheza, Filimbi kupulizwa wakati wa move ya kushambulia hii nayo huwatoa mchezoni wachezaji
3. penati za kuforce na offside za kinyonyaji
Nashauri TFF mechi zote za Derby ziamuliwe na marefarii kutoka inje ya nchi!
Naomba kuwasilisha
Ukiandika jf hakikisha umemeza zile dawa ulizopatiwa Milembe!Shida ni unaangalia mpira ili Yanga ifungwe........au unaangali mpira ili simba afungwe....hapo utalalamika kila siku kma una mimba changa.......rekebisheni timu zenu hutalalamikia mtu sawa we kolo
Na ww kabla ya kulalamikia marefa hakikisha umemeza P2 maana hiyo mima changa uliyonayo hata baba humjuiUkiandika jf hakikisha umemeza zile dawa ulizopatiwa Milembe!
Ukinitajia matatu Kati ya hayo mengi na yawe genuine najitoa JF.Huyo namba 2 sijui kama anastahili ku2a refa wa Ligi Kuu.
Leo nimeangalia mechi ya Prisons vs Utopolo kafnya makosa mengi ya kiuamuzi.
Ahmed Arajiga sio mu Iraqwi kweli?Siyo kwa ubaya, wala si kwamba hawajui kazi ya urefarii!
Lakini ukweli ni kwamba maamuzi yao yamekuwa yakigumbikwa na makandokando mengi kwenye mechi zinazovuta masikio ya wapenzi wrngi!
Ukiona marefarii wafuatao wamepangwa kuamua mechi kubwa nakushauri zima TV ukalale!
1. Jonesia Rukya
Huyu mama ni bonge la refa lakini siku za hivi karibuni tayali kashaingia kwenye mfumo! Hutumika sana kuamua mechi kubwa za maelekezo.
2. Ahmed alajiga
Huyu mnyaturu ni refa mzuri lakini mfumo unamtumia sana kuamua mechi
3. Kayoko!
Huyu naye kashaingia kwenye mkeka hatakiwi kuamua mechi kubwa!
Mbinu wanazozitumia kuharibu mchezo
1. Kuwapa Yellow card mapema key player wa timu inayotakiwa kufungwa
2. Kuwa frastulate wachezaji pasiposababu ya msingi!
(Yaani katika watu ambao huwa wanagundua mapema kwamba refa kapangwa huwa ni wachezaji, mchezaji anapewa kadi ya kuonewa huwa inamkata kabisa stimu ya kucheza, Filimbi kupulizwa wakati wa move ya kushambulia hii nayo huwatoa mchezoni wachezaji
3. penati za kuforce na offside za kinyonyaji
Nashauri TFF mechi zote za Derby ziamuliwe na marefarii kutoka inje ya nchi!
Naomba kuwasilisha
KAYOKO anastahili kupigwa chuma.Siyo kwa ubaya, wala si kwamba hawajui kazi ya urefarii!