Hawa ma-gentlemen/role models wangu wako wapi?

E=mcsquared

JF-Expert Member
Apr 1, 2009
236
40
Ni Amedee Stanslaus (alikuwa Head Prefect Pugu High School mwaka 90/91) na Nazael Madala. Niliwapenda sana tabia zao zilivyokuwa kama viongozi wa serikali ya wanafunzi pale Pugu- na walitokea kuwa "role models" wangu. Bahati mbaya sijawahi kukutana nao ama kuwasikia wako wapi. Kwa mwenye taarifa tafadhali naomba anijulishe wako wapi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom