Fadhili Paulo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 3,211
- 988
Habari zenyu wakuu?.
Aise samahani kuuliza si ujinga. Mimi ningetaka kuwajuwa hasa hawa jamiiforums ni kina nani? nini lengo lao la kuanzisha forum bodi hii?, naweza kuonana nao kwa macho?, na je huwa wanapatwa namatatizo/changamoto zozote? ni kama zipi hizo changamoto?, Je wamiriki wa jf ni wana-Chadema wote?.
Nimeshasema kuuliza si ujinga.

face book, twitter, etc ni akina nani? Ukijibu hilo umepata jibu la swali lako. Ukishindwa nenda ka-google
Wakati mwingine "Kuuliza ni ujinga"
Habari zenyu wakuu?.
Aise samahani kuuliza si ujinga. Mimi ningetaka kuwajuwa hasa hawa jamiiforums ni kina nani? nini lengo lao la kuanzisha forum bodi hii?, naweza kuonana nao kwa macho?, na je huwa wanapatwa namatatizo/changamoto zozote? ni kama zipi hizo changamoto?, Je wamiriki wa jf ni wana-Chadema wote?.
Nimeshasema kuuliza si ujinga.
Mkuu Fadhili Paulo, kwa vile umejiunga jf tangu Sept, 2011, ukiwa na zaidi ya mwaka humu jukwaani, kuuliza jf ni kina nani, unaonekana kama mjinga fulani, yaani wewe ni zuzu!, inamaana hujawahi kuchangia jf hata senti tano, maana ungechangia lazima ungejua fedha zinapokelewa na nani!.Habari zenyu wakuu?.