Hawa Ghasia ni mweupe kweli kweli! Sijui huo uwaziri kaupata kwa vigezo gani!

Aibu.. Gasia hawa "escrow scandal " ilikuwa aibu alipochangia.....hata darasa la saba aliyesoma vizuri hawezi ongea pumba vile... Aibu...aibu..anamwambia deo kuwa hafai kuwa mwenyekiti wa pac, hata hilo la kujua kuwa deo si mwenyekiti wa pac bali kaimu yeye alitambui..... Ebu cv yake huyu mama mtujuze....
 
Hata mastaz ya Hawa Ghasia aliandikiwa papers na project paper na yanki fulani hivi. Kama alivyoandikiwa Emmanuel Nchimbi.PhD yake baada.ya ile ya kwanza.kubuma. Jamaa aliyemwandikia of course lecturer alimpa kifuta jasho.kwa.kumtafutia nafasi serikali kuu. Ufisadi uko wa aina nyingi sana si tu wa akina Chenge na Tibaijuka.
 
Wewe Ni mngese, watu wapo kwenye siasa unaleta udini, asumpte mshana anavaa hijabu? na hana akili hata chembe

Haya yaishe alipotoka tu turudi kwenye mada hii maana kina jamaa yangu ameniambia dada yake wa kazi wanaotusaidia majumban ana akili kuzid Bi Hawa
 
Wasiojielewa na wamezidiwa akili na mabeki tatu ni hawa wafuatao
1.Seleman nchambi-huyu jamaa ni jinga lenye kichwa kikubwa kupita maelezo.
2.lusinde-yani sijui ana nyama kwenye 0713?
Hawa Ghasia-anaonesha tu uwaziri wake anahesabu nyota kwa kupigwa papuchi.
 
huyu mama ni empty headed kabisa.....hata huyu waziri wa fedha naye sada sijui kichwa kitupu
jk kachagua watu kwa kujuanajuana tu.....ndomana serikali yake haiishi vituko
Anapenda sana Kuweka Mbele uhusiano wake na 1st lady kama kigezo, maybe the most illiterate minister since independence
 
Escrow
 

Attachments

  • 1417371728349.jpg
    1417371728349.jpg
    35.9 KB · Views: 305
Kipindi ambacho wabunge wa ccm wamedhalilika ni hiki, maana asilimia kubwa ya watanzania waliufuatilia mjadala wa escrow kwa karibu sana, kweli wameaibika sana hawajui tu!
 
....ESCROW imeisha... Na haya ndio
niliyogundua katika bunge la escrow....
mwigulu Nchemba amekuwa mtu mpya, bila
ya Tundu Lisu masuala ya sheria
yanakuwa magumu bungeni, Zitto Kabwe
ana akili sana, wachangiaji wa CCM siku
ya alhamisi wanajisikia aibu, Pinda Urais
atahusikia redioni, Zungu anafaa kuwa
spika wa bunge lijalo, Housegirl wangu ana
akili kuliko Hawa Ghasia
.....

Kutoka moyoni huyu mama anaTUdharirisha[FAIZAFOX NJOO USAHISHE KISWAHILI] watu wa kusini,ila kiukweli kusini tuna bahati katika baraza la mawaziri,lakini kama hatuna kitu,wengi wao ni marofa tu,yaani wanashangaa tu
chikawe,membe,ghasia,majaliwa,mkuchika,na wote hawana imapct,GHASIA ata huko mtwara vijijini anaenda kwa wizi,KINANA katembelea jimbo lake lakini GHASIA yupo dodoma
 
Kabla ''hajapewa'' uwaziri wa kujuana alikuwa mwalimu wa Shule ya Msingi. Alipewa uwaziri kwa sababu ni shostisto wake First Lady.

acha kuwapotosha watu,alikua afsa utumishi halimashauri ya mji masasi,ana advance diploma ya mzumbe,na master ya community development
 
Aliwahi kuniudhi sana huyu kipindi cha nyuma wakati Zitto alijenga hoja kuwa sheria iliyokuwa inajadiliwa ikataze wabunge kuwa wajumbe katika bodi za mashirika ya umma. Aliongea utumbo sana. Gsam, kama ulivyosema, huyu mama ni bure kabisa. Naambiwa na wanaofahamu kuwa alishawishiwa na Baba Ritz kuingia katika siasa. Na pengine ni shemeji yake, yaani ni ndugu wa Mama Ritz.
 
jk kachagua watu kwa kujuana ndomana serikali yake imejaa viongozi ambao ni bogus.
inawezekana ndiyo rais pekee aliyewapa ndg/jama zake shavu ktk serikali
 
. Pasco labda nikuambie nini ana maanisha mleta mada, anachosema kuhusu waziri ghasia ni kuwa kichwani ni mweupe....ana maanisha kichwa chake ni kitupu yaaani hayuko sawa kihoja, kuzungumza etc

Na huyu nae kaamkia wapi? Uliza Kabla ya kuanza kuhubiri mshikaji/chali yangu acha kukurupuka
 
Last edited by a moderator:
Ukistaajabu ya Musa basi utayaona ya serikali ya Jakaya Mrisho Kikwete!

Ndani ya serikali ya rais Kikwete yumo waziri wa 'TAMISEMI' bi Hawa Ghasia!

Nilikuwa simfahamu vizuri huyu waziri kutokana na ukimya wake bungeni na maswali mengi amekuwa akijibu naibu wake ndugu Mwanri.

Juzi kwenye sakata la IPTL/PAP nilibahatika kumsikia akichangia! Kwa kweli nilijisikia aibu sana kuwa na waziri anayeongoza wizara nyeti ya serikali za mitaa wa aina ile!

Kwa kweli kichwani ni mweupe! hatumii akili hata kidogo! hana data na ni mtu anayeonesha dhahiri siyo mfuatiliaji wa mambo! anaongea huku akiwa hajui aongealo! huyu ni waziri! Waziri asiyejishughulisha! Nimejiuliza sana huo uwaziri kaupataje na ni vipi anamudu kazi! Jibu analo Kikwete!

Chondechonde rais Kikwete kwenye mabadiliko yajayo ya baraza la mawaziri usimrudishe huyu mama. Hafai kutumikia watu kwani ni mvivu wa kutumia akili!

Ana degree ya chup*****
 
Back
Top Bottom