Hawa Ghasia ni mweupe kweli kweli! Sijui huo uwaziri kaupata kwa vigezo gani!

Chonde chonde kuweni makini kwani hamjui kuwa ni shoga yake na malkia na malkia ndiye anapanga safu? waziri anayebisha akosane na malkia aone cha moto.

Mkuu umejuaje habari hizi, haswaaaa umepatia nawala huja danganya walisomanae,sitaki kumwaga Mchele tena wewe umemaliza. Pia wanatoka sehem moja.
 
Braza Sam, Bora Hawa Ghasia mara 1000 kuliko Jenister Mhagama, Kilango, Mshana ... CCM huwa na tabia ya kuwapa madaraka mashangingi waliokubuhu ... Historia ya Makinda ni balaa ...
Ukistaajabu ya Musa basi utayaona ya serikali ya Jakaya Mrisho Kikwete!

Ndani ya serikali ya rais Kikwete yumo waziri wa 'TAMISEMI' bi Hawa Ghasia!

Nilikuwa simfahamu vizuri huyu waziri kutokana na ukimya wake bungeni na maswali mengi amekuwa akijibu naibu wake ndugu Mwanri.

Juzi kwenye sakata la IPTL/PAP nilibahatika kumsikia akichangia! Kwa kweli nilijisikia aibu sana kuwa na waziri anayeongoza wizara nyeti ya serikali za mitaa wa aina ile!

Kwa kweli kichwani ni mweupe! hatumii akili hata kidogo! hana data na ni mtu anayeonesha dhahiri siyo mfuatiliaji wa mambo! anaongea huku akiwa hajui aongealo! huyu ni waziri! Waziri asiyejishughulisha! Nimejiuliza sana huo uwaziri kaupataje na ni vipi anamudu kazi! Jibu analo Kikwete!

Chondechonde rais Kikwete kwenye mabadiliko yajayo ya baraza la mawaziri usimrudishe huyu mama. Hafai kutumikia watu kwani ni mvivu wa kutumia akili!
 
Back
Top Bottom