Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,310
- 4,207
Whu you are😂😂😂😂Mchina wa watu hana shida na mtu kaenda Uingereza kubeba box. Ma content creator uchwara wanamvamia kwenye kituo chake cha kazi na kuanza kumrekodi huku akipata msosi lunch break. Mchina akamind.
View attachment 3532264
adriz de mbusii
Hapo nilicheka karibu nife.Yu faking who are you at?
Mimi nakuja kwa matukio Maalumu sasa nipo likizo kidogo pakichafuka ndio nakuja kimafiaNawasubiri akina Invisible Mafia Driz de Mafwele.
Mkuu rudusha ile ID yako ya zamani.Mimi nakuja kwa matukio Maalumu sasa nipo likizo kidogo pakichafuka ndio nakuja kimafia