Hawa ccm vp???

Good boy

Member
May 20, 2011
42
2
Hv haya ma ccm yanakuaje jamani? Utakuta kuna shughuli za kiserikali zinafanyika labda uzinduzi wa madarasa nk, pale mambo ya kichama yanakua hayapo tena, ila utayakuta yamevaa me tisht ya kijani na mikofia yao, me nafikiri ushabiki wa kipumbavu tuachane nao.
 
hv haya ma ccm yanakuaje jamani? Utakuta kuna shughuli za kiserikali zinafanyika labda uzinduzi wa madarasa nk, pale mambo ya kichama yanakua hayapo tena, ila utayakuta yamevaa me tisht ya kijani na mikofia yao, me nafikiri ushabiki wa kipumbavu tuachane nao.


next tyme usitafute umaarufu hivi, sijaona mshiko wa thread yako, kimsingi ni ya kitoto
 
Back
Top Bottom