Ng'wanangwa JF-Expert Member Joined Aug 28, 2010 Posts 10,827 Reaction score 4,184 Mar 19, 2011 #1 kuna mahema. viti. jukwaa. muziki(kama kawa). watu wa kwamnyamani mtujuze.
Arafat JF-Expert Member Joined Nov 17, 2009 Posts 2,581 Reaction score 768 Mar 19, 2011 #2 Pilau hamna jingine si unajua huko ndio kwenyewe kwa Bwabwa ndizi.
AirTanzania JF-Expert Member Joined Mar 17, 2011 Posts 1,139 Reaction score 1,040 Mar 19, 2011 #3 Wameamua kuburudisha watz kwa muziki baada ya kazi ngumu ya kusukuma gurudumu la maisha