Usikasirike Mungu ni tofauti na sisi wanadam, jua kuwa ambalo hajalifunua yeye ni ngumu akili yako kung'amua, wengi walihoji na kumkosoa Mungu karne nyingi zilizopita lakini hawajaturithisha majibu yoyote ya maana kuhusu Mungu. Wanafalsafa wengi walishapita lakini Mungu hachunguziki kamwe!!We
we hatuwezi kudebate, hutaki kuhoji, kwa heri, siko hivyo mimi nakwambia!
Haya huyo mleta Uzi atuambie na huyu kapata mafunzo gani?
Nimeipenda hii picha
Kumbe alituumba wakamilifu. Tumemkiuka Mungu, tu wa nini duniani?
Mungu hajakosea,na aliyeuliza hajakosea,anatuhoji binadamu je Mungu alikosea kutuumba kwa RANGI ZETU??Amehoji kwa kutuuliza tulioumbwa kama Mungu alikosea,then kama tunadhani alikosea kutuumba basi tuombe Mungu aturejeshee japo HEKIMA kama wenzetu.BAsi hakuna kukufuru.Mie ninaamini anayemkufuru Mungu ni yule anayejibadilisha nywele na RANGI,huyu ndiyo anayemwambia Mungu ulikosea kuniumbaUmehoji nini hapo zaidi ya kumhukum Mungu kuwa alikosea kumuumba mwaafrika!!! Je, una upeo kiasi gani wa kumhoji mwenyezi Mungu!? Jiulize alivyovifanya vizazi mpaka leo vinaendelea unafikiri wewe na Mungu mko kundi moja kiasi cha kuwa na ujasiri na jeuri ya kuhoji au kumkosoa?
Hapana Mkuu hakukosea...ila kwa mtazamo wangu angetuchanganyachnganya Na weupw ingesaidia sana...hata black Americans wanavobehave kidogo...nasema kidogo kuna tofauti Na tunavobehave sisi tuliozaliwa Na kukulia Africa..Kosa kubwa alilolifanya Mungu ni kumuumba Mwafrika, kwa maoni yangu!
Hao wa juu ni polisi?
shida ni elimu na malipo kidogo wanayopata Mkuu. Jeshi la polisi limejaa vi.la.za na vihiyo ndiyo maana mawazo yao yamekaa kimtazo huo. Wengi ni wavuta bangi na failures. Ukiongeza na malipo duni wanayaopata, nilazima watumie nguvu nyingi kujitutumua. Kote dunia ndivyo ilivyo. Polisi wa Marekani nayo ni hivyo hivyo ndo maana ukatili kwa raia ni mkubwa. Angalia nchi za Ulaya, hasa ulaya magharibi kazi ya polisi ina heshima kubwa na wengi wana elimu ya kutosha na mishahara ni mizuri sana. Ndio maana hutosia polisi wa nchi hizo wakiwaonea wananchi.Askari wa bongo ni kama vile wanashauku itokee vurumai kidogo tu ili waanze kupiga watu. Wamejengwa kiuonevu zaidi kuliko kiutetezi. Mfano dhahiri mtu akienda kukushtaki kituoni, wewe mshtakiwa hupewi nafasi ya kujitetea. Automatically unachukuliwa ni muhalifu, ni ngumi, teke na rumande. Ukweli ukija kujulikana hata samahani hupewi. Hii ndio Tanzania yetu yenye amani na utulivu.
Kuna askari wanaotoa huduma kwa wakimbizi au huduma za uangalizi wa amani kimataifa na katika kundi hili Tanzania inasifika kwa hospitality. Kuna askari wanaopambana dhidi ya matukio yanayo ashiria uvunjifu wa amani ya nchi na kulinda mali za raia pia Tanzania tunasifika kwa kazi nzuri. Ukipenda fuatilia Lebanon, Congo DRC au Darfur utapata sifa za Tanzania. Usikurupuke kuandika mabaya ya nchi yako.Hawa ni askari wa Tanzania
View attachment 358180
Hawa ni Askari wa Nchi nyingine
View attachment 358181
Nimehitaji kujua kwani wafanyayo ni tofauti kwa raia.
KACHUKUA CHAKE HAPOHaya huyo mleta Uzi atuambie na huyu kapata mafunzo gani?
Kuna kesi ya kubaka lakini huko DRC nadhani unakumbuka, tena of recentKuna askari wanaotoa huduma kwa wakimbizi au huduma za uangalizi wa amani kimataifa na katika kundi hili Tanzania inasifika kwa hospitality. Kuna askari wanaopambana dhidi ya matukio yanayo ashiria uvunjifu wa amani ya nchi na kulinda mali za raia pia Tanzania tunasifika kwa kazi nzuri. Ukipenda fuatilia Lebanon, Congo DRC au Darfur utapata sifa za Tanzania. Usikurupuke kuandika mabaya ya nchi yako.
Kosa kubwa ulilofanya wewe ni kumkosoa muumba katika kazi yake..toba muhimu kwakoKosa kubwa alilolifanya Mungu ni kumuumba Mwafrika, kwa maoni yangu!
Hapana, Mungu hampendi vile vile mtu asiyehoji mambo. Mungu hayuko hivyo! Viongozi wa dini wanajua kuwa ukiruhusu watu wakahoji maswali magumu katika dini, hutapata waumini kesho! NAMBIE NI WAPI KATIKA BIBLIA MUNGU AMESEMA NI DHAMBI KUHOJIKosa kubwa ulilofanya wewe ni kumkosoa muumba katika kazi yake..toba muhimu kwako
Rudisha maneno yako mkuu MUNGU hakoseiKosa kubwa alilolifanya Mungu ni kumuumba Mwafrika, kwa maoni yangu!
Mimi naona kama amekosea, mimi nahisi hivyo1 Kuna mahali (kwenye biblia) Mungu amesema usihoji?Rudisha maneno yako mkuu MUNGU hakosei
Wale wanaopelekwa kule ni askari wetu wa jeshi la polisi? Kama una zungumzia JWTZ hata hapa nyumbani wanasifika kwa utu na mitaani wanaishi na jamii vemaKuna askari wanaotoa huduma kwa wakimbizi au huduma za uangalizi wa amani kimataifa na katika kundi hili Tanzania inasifika kwa hospitality. Kuna askari wanaopambana dhidi ya matukio yanayo ashiria uvunjifu wa amani ya nchi na kulinda mali za raia pia Tanzania tunasifika kwa kazi nzuri. Ukipenda fuatilia Lebanon, Congo DRC au Darfur utapata sifa za Tanzania. Usikurupuke kuandika mabaya ya nchi yako.