Hawa askari wamepata mafunzo ya aina moja?

Hawa askari wamepata mafunzo ya aina moja?

IMG_20160618_WA0027.jpg

Nimeipenda hii picha​
Angemnunua na viatu, hata vya 5,000
 
mbona mnajichanganya?hao wa juu ni polis na huyo wa chini ni mwanajeshi.vitu viwil tofaut.kusoma hamjui hata picha?
 
Hao wa bongo ni Fanya Fujo Uone. Mnasubiriwa chadema mulete za kuleta mpate kibano, maana hamna adabu kila kitu mnapinga na kumtukana mpaka rais (isipokuwa Mh. Godbless Lema).
Hivi wee kijana unalipwa pesa ngapi kuropoka humu..?!
Asubuhi mpaka jioni wewe huna hoja ya maana , kazi yako kusakama CDM.... Point huna.., kwani lazima uchangie kila uzi hata kama huna la maana kuchangia..?! Khaaa...!
 
Ukileta ununda unakuwa treated kinunda.

Hii theory iko duniani kote hata USA kesi za raia kufia mikononi mwa polisi zipo kibao tu labda kama mnajitoa ufahamu tu.

Hata Bible na Qur'an zimepiga mkwara wa jehanamu kwa manunda.

BTW:Kama unapenda kukanyaga askari migongoni tafuta nchi ya aina hiyo ukaishi kama ipo.
 
Kosa kubwa alilolifanya Mungu ni kumuumba Mwafrika, kwa maoni yangu!

labda wewe ndugu yangu, mimi namshukuru na kum enzi MWENYE ENZI MUNGU kila siku kwa kuniumba mwafrica! .... proud to be AFRICAN!
 
Siwezi kukufuru! Naangalia the whole of Africa, nakata tamaa kuwa kuna tatizo na ngozi nyeusi-waafrika. Tusingeliumbwa!
Kuumbwa ww mweusi sio jambo la kujilaumu kwasababu akili ya mwanadamu ni moja ila tunatofatiana matumizi ya akili, wakumlaumu ww si mungu.. ni mtu mweupe hasa mzungu kukufanya wewe koloni lake, kukufanya ndondocha wa kukudumaza akili na usitafute namna ya kujinusuru.
 
Wakoloni wameondoka zamani, mbona tunafanya mambo ya ajabu. Bunge zima linakaa na watu waovu, akina jicho la nyoka wanakuwa wenyeviti wa bunge na maovu yote. Muovu kama yule anaongoza kutunga katiba! Na haya ni kwa Africa yote- Angalia Mugabe, Museveni, Nkurunzinza, Zuma etc
 
mtoa mada ni mtu wa chuki na visirani utaharibu familia na kizazi chako kwa hako katabia
 
Wakoloni wameondoka zamani, mbona tunafanya mambo ya ajabu. Bunge zima linakaa na watu waovu, akina jicho la nyoka wanakuwa wenyeviti wa bunge na maovu yote. Muovu kama yule anaongoza kutunga katiba! Na haya ni kwa Africa yote- Angalia Mugabe, Museveni, Nkurunzinza, Zuma etc
Kwa namna utakavyosema shida iko palepale kuwa weupe walituweza sana.. Utawala tuliokuwa nao sio asilimia 100% kwa hivyo ukoloni mamboleo unaendelea.. kwahivyo tunapogomba au kupigana wao wanafanya yao ya kuchuma rasilimali za africa.
 
Kwa nini viongozi wetu wasibadilike! Hata hapa wanafanya kujikomba tu sana sana!
 
Africa bara la giza haki za binadamu awazingatii ata kidogo nikiangalia Zimbabwe watu wanaishi kwa shida kisa mtu mmoja nikigeuza jicho Burundi pale ali ni tete watu wanapigwa risasi kila siku Nikimuangalia Museveni pale ni aibu nenda pale Rwanda huyu anajifanya eti raia wanampenda ameua watu wengi kwa risasi nakumbuka ata yule jamaa aliyefia south Africa Nenda DRC congo Sudan kusini PUMBAVU AFRICA Mungu mpaka leo na mlaumu kuzaliwa afrika
 
Yani bado tunatumia methods za colonial police za kukandamiza umma jeshi la polisi la sasa na ukoloni tofauti yao ni ss hivi tunakandamizwa na watanzania wenzetu ila jeshi na mbinu ni zile zile za kikoloni kikosi cha FFU kilianzishwa na wakoloni tumepata uhuru bado jina ni lile lile na linatumika kutuliza sauti za wananchi wanapodai haki zao hii nchi mabadiliko yanayotakiwa sio ya kisiasa tu hata taasisi za ulinzi kama hawa polisi zibadilike kimfumo wengi wanaoenda polisi ni waliofeli form 4 na 6 na wale ambao jamii imewatenga unadhani watatetea haki za raia??
Kweli mkuu most of them(not all) ni wale waliofanya vibaya sekondari ndio maana wako hivyo.
 
Mimi ni mkristo mzuri tu, tena sana . Najiuliza haya mapungufu aliyonayo mwafrika ni ya Mungu? Kama Mungu aliyaweka kwa waafrika, basi alifanya kosa kutuumba na mapungufu haya! Kama ni ya kwetu baada ya kutuumba wakamilifu, basi atuangamize tuipishe dunia!
Mh? Kutawala na Kujitawala
 
Back
Top Bottom