Hawa askari wamepata mafunzo ya aina moja?

Hawa askari wamepata mafunzo ya aina moja?

We

we hatuwezi kudebate, hutaki kuhoji, kwa heri, siko hivyo mimi nakwambia!
Usikasirike Mungu ni tofauti na sisi wanadam, jua kuwa ambalo hajalifunua yeye ni ngumu akili yako kung'amua, wengi walihoji na kumkosoa Mungu karne nyingi zilizopita lakini hawajaturithisha majibu yoyote ya maana kuhusu Mungu. Wanafalsafa wengi walishapita lakini Mungu hachunguziki kamwe!!
God is good!!
 
IMG_20160618_WA0027.jpg


Nimeipenda hii picha​
 
Kumbe alituumba wakamilifu. Tumemkiuka Mungu, tu wa nini duniani?

Unapopewa nafasi hatuitumii.Mungu ametupa UTASHI,ELIMU na UWEZO wa kuamua mema na mabay.Bado hatuutumii huu utashi.Tuko busy kuwalaumu wazungu.Na mbaya zaidi watawala wamejua mahala pakutuweka ,ukisema ukweli utaitwa Kilza,Mpumbavu au Lofa,na wale wenye upande wao watapiga makofi na kurahia kabisa raia wenzao kuitwa Vilaza,Wapumbavu na Malofa,na bila kufikiria zaidi wakawaongezea wenzao sababu ya kusema cha moyoni mwao wakawapa na Jina la MNYAMA ati wanaitwa NYUMBU,wale wote wenye mawazo tofauti na wao,wakidhani wao hawako kati ya wale WAPUMBAVU,MALOFA na VILAZA na kwa sababu ya kutotaka kutambua UTASHI na HEKIMA aliyopewa na Mungu tangu kuzaliwa basi akaishia kufurahia kumuita RAIA mwenzake NYUMBU
 
Umehoji nini hapo zaidi ya kumhukum Mungu kuwa alikosea kumuumba mwaafrika!!! Je, una upeo kiasi gani wa kumhoji mwenyezi Mungu!? Jiulize alivyovifanya vizazi mpaka leo vinaendelea unafikiri wewe na Mungu mko kundi moja kiasi cha kuwa na ujasiri na jeuri ya kuhoji au kumkosoa?
Mungu hajakosea,na aliyeuliza hajakosea,anatuhoji binadamu je Mungu alikosea kutuumba kwa RANGI ZETU??Amehoji kwa kutuuliza tulioumbwa kama Mungu alikosea,then kama tunadhani alikosea kutuumba basi tuombe Mungu aturejeshee japo HEKIMA kama wenzetu.BAsi hakuna kukufuru.Mie ninaamini anayemkufuru Mungu ni yule anayejibadilisha nywele na RANGI,huyu ndiyo anayemwambia Mungu ulikosea kuniumba
 
Kosa kubwa alilolifanya Mungu ni kumuumba Mwafrika, kwa maoni yangu!
Hapana Mkuu hakukosea...ila kwa mtazamo wangu angetuchanganyachnganya Na weupw ingesaidia sana...hata black Americans wanavobehave kidogo...nasema kidogo kuna tofauti Na tunavobehave sisi tuliozaliwa Na kukulia Africa..
 
Askari wa bongo ni kama vile wanashauku itokee vurumai kidogo tu ili waanze kupiga watu. Wamejengwa kiuonevu zaidi kuliko kiutetezi. Mfano dhahiri mtu akienda kukushtaki kituoni, wewe mshtakiwa hupewi nafasi ya kujitetea. Automatically unachukuliwa ni muhalifu, ni ngumi, teke na rumande. Ukweli ukija kujulikana hata samahani hupewi. Hii ndio Tanzania yetu yenye amani na utulivu.
shida ni elimu na malipo kidogo wanayopata Mkuu. Jeshi la polisi limejaa vi.la.za na vihiyo ndiyo maana mawazo yao yamekaa kimtazo huo. Wengi ni wavuta bangi na failures. Ukiongeza na malipo duni wanayaopata, nilazima watumie nguvu nyingi kujitutumua. Kote dunia ndivyo ilivyo. Polisi wa Marekani nayo ni hivyo hivyo ndo maana ukatili kwa raia ni mkubwa. Angalia nchi za Ulaya, hasa ulaya magharibi kazi ya polisi ina heshima kubwa na wengi wana elimu ya kutosha na mishahara ni mizuri sana. Ndio maana hutosia polisi wa nchi hizo wakiwaonea wananchi.
 
Watu weusi duniani kote wanatabia zinazofanana
Wanapenda sifa
Wavivu wa kufikiri
Wakorofi
Wabaguzi yaani wenyew kwa wenyew
Waoneaji
Waongo
Wazurumaji
Sishangai polisi wetu kuwa ivo
 
Hawa ni askari wa Tanzania
View attachment 358180
Hawa ni Askari wa Nchi nyingine
View attachment 358181
Nimehitaji kujua kwani wafanyayo ni tofauti kwa raia.
Kuna askari wanaotoa huduma kwa wakimbizi au huduma za uangalizi wa amani kimataifa na katika kundi hili Tanzania inasifika kwa hospitality. Kuna askari wanaopambana dhidi ya matukio yanayo ashiria uvunjifu wa amani ya nchi na kulinda mali za raia pia Tanzania tunasifika kwa kazi nzuri. Ukipenda fuatilia Lebanon, Congo DRC au Darfur utapata sifa za Tanzania. Usikurupuke kuandika mabaya ya nchi yako.
 
Huko kenya polisi wanasambaza kichapo cha heavy weight ajabu kama wanauwa mbwa kumbe binadam anapigwa
 
Haya huyo mleta Uzi atuambie na huyu kapata mafunzo gani?
KACHUKUA CHAKE HAPO
Kuna askari wanaotoa huduma kwa wakimbizi au huduma za uangalizi wa amani kimataifa na katika kundi hili Tanzania inasifika kwa hospitality. Kuna askari wanaopambana dhidi ya matukio yanayo ashiria uvunjifu wa amani ya nchi na kulinda mali za raia pia Tanzania tunasifika kwa kazi nzuri. Ukipenda fuatilia Lebanon, Congo DRC au Darfur utapata sifa za Tanzania. Usikurupuke kuandika mabaya ya nchi yako.
Kuna kesi ya kubaka lakini huko DRC nadhani unakumbuka, tena of recent
 
Kosa kubwa ulilofanya wewe ni kumkosoa muumba katika kazi yake..toba muhimu kwako
Hapana, Mungu hampendi vile vile mtu asiyehoji mambo. Mungu hayuko hivyo! Viongozi wa dini wanajua kuwa ukiruhusu watu wakahoji maswali magumu katika dini, hutapata waumini kesho! NAMBIE NI WAPI KATIKA BIBLIA MUNGU AMESEMA NI DHAMBI KUHOJI
 
Hao wa bongo ni Fanya Fujo Uone. Mnasubiriwa chadema mulete za kuleta mpate kibano, maana hamna adabu kila kitu mnapinga na kumtukana mpaka rais (isipokuwa Mh. Godbless Lema).
 
Kuna askari wanaotoa huduma kwa wakimbizi au huduma za uangalizi wa amani kimataifa na katika kundi hili Tanzania inasifika kwa hospitality. Kuna askari wanaopambana dhidi ya matukio yanayo ashiria uvunjifu wa amani ya nchi na kulinda mali za raia pia Tanzania tunasifika kwa kazi nzuri. Ukipenda fuatilia Lebanon, Congo DRC au Darfur utapata sifa za Tanzania. Usikurupuke kuandika mabaya ya nchi yako.
Wale wanaopelekwa kule ni askari wetu wa jeshi la polisi? Kama una zungumzia JWTZ hata hapa nyumbani wanasifika kwa utu na mitaani wanaishi na jamii vema
 
Back
Top Bottom