ODILI SAMALU
JF-Expert Member
- Dec 13, 2013
- 1,369
- 489
Angalia sasa mkuuHao wa bongo ni Fanya Fujo Uone. Mnasubiriwa chadema mulete za kuleta mpate kibano, maana hamna adabu kila kitu mnapinga na kumtukana mpaka rais (isipokuwa Mh. Godbless Lema).
Angalia sasa mkuuHao wa bongo ni Fanya Fujo Uone. Mnasubiriwa chadema mulete za kuleta mpate kibano, maana hamna adabu kila kitu mnapinga na kumtukana mpaka rais (isipokuwa Mh. Godbless Lema).
Dah mkuu acha kufuru.. hao weupe tunawalisha sisi waafrika kwa rasilimali zetu za madini na nyinginezo, ndo zinatoa mambo yote ya maendeleo ya teknolojia.. mi nadhani kikwazo cha kupiga hatua kwa nyanja zote kama uongozi bora kilikuwa ukoloni ambao mpaka leo upo..!Africa bara la giza haki za binadamu awazingatii ata kidogo nikiangalia Zimbabwe watu wanaishi kwa shida kisa mtu mmoja nikigeuza jicho Burundi pale ali ni tete watu wanapigwa risasi kila siku Nikimuangalia Museveni pale ni aibu nenda pale Rwanda huyu anajifanya eti raia wanampenda ameua watu wengi kwa risasi nakumbuka ata yule jamaa aliyefia south Africa Nenda DRC congo Sudan kusini PUMBAVU AFRICA Mungu mpaka leo na mlaumu kuzaliwa afrika
Sasa hapo na wewe unakubali tu kama mnyama.. Unatakiwa ujiongeze..!polisi hawapendi bali huamrishwa na wakubwa wao
kazi ya jeshi/polisi utakavyoambiwa na mkubwa ndivyo unatakiwa ufanyeSasa hapo na wewe unakubali tu kama mnyama.. Unatakiwa ujiongeze..!