Having privacy vs keeping Secrets

Having privacy vs keeping Secrets

Ntampost mke wangu ambaye tuko officially kabisa. Other than that sifanyii GF hilo. Maana mwanamke unampost anaona kama yeye ndio yeye dunia nzima anaanza kejeli.
Nimefurahi maana umesema mke wako utampost Extrovert.
Kila la heri.
 
Sikutegemea kama huku kuna watu mna akili fupi namna hii. Yaani sikutegemea kabisa.
Huu ni mjadala, na haumjui kila mtu zaidi sana unajijua wewe mwenyewe. Unaposema "watu wenye ndoa zao huwa hawahangaiki" unadhihirisha pia hautumii akili kwenye kuchangia.
Kilichokuwa kinahitajika hapa ni wewe unaonaje na sio kuanza kutoa theories zako zinazofanya kazi kwenye akili yako tuu.
Asante kwa kuchangia, soma maoni ya wenzako ujifunze tofauti kati ya "kushiriki mjadala kwa kutoa maoni" na "ku hukumu" ukijidai unajua watu wanavopaswa kuishi.
Karibu tena.
Wewe ndo una akili fupi. Upo busy na shosho media.
 
Wasichana waopenda kupostiwa Mitandaoni wana sifa zifuatazo:-
  1. Wanadate na mabishoo/brazamen/tozi/wauza sura
  2. Wanashindana na rafiki zao on social medias (wanaishia kuporwa wapenzi)
  3. Watoto kiakili sio kiumri (Nasisitiza hili)
  4. Wabaya wa sura na wanadeti na #1 hapo juu
  5. Wapo insecure/ hawajiamini kwenye mahusiano wanahisi wanaibiwa/ hawawaamini wapenzi wao hawa ukiwaoa ole wako uvue pete, utapelekwa hadi kwa Shekhe/Paroko/ Mchungaji
  6. Watoto wa kisure au Uswazi.
  7. Watumwa wa mahusiano
  8. WASHAMBA WA MITANDAO
Mimi sikuweki hata screen server 😎 ya simu ya torch but Utajipata kwenye SCREEN SERVER YA DESKTOP YA NYUMBANI
I totally agree. Mahusiano ya kiutu uzima hayawi based kwenye kupostiana.
 
In this case, age really matters. I remember back then when I was active in FB and WhatsApp by uploading pictures, my significant other never bothered to know or even ask me if I would one day post her on my "wall" or even on my status. But I did it knowing that by doing so I would make her feel secure and loved.

Now that time has elapsed, looking back at what I was doing, "totally rubbish". Social networks are for fake life, showing off and in reality there's nothing much one gains by posting his/her partner. It's there for likes and time wasting.
 
I appreciate your comment Eli79.
I learned something. Thank you.
 
Just to be sure he's not dating or approaching other girls and acting like he's single.
so you think he post you he will not cheat ?? come on now people are married share everything with kids but they still cheat with a women who knows that the man his married
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom