Having privacy vs keeping Secrets

Having privacy vs keeping Secrets

Paula Paul, seems age is bothering yo!. However, depends on how you define love. Personally, I dont care as long i trust and love her.
Speaking of age, do you think it has something to do with this? I don't really believe in age.
 
Huu utoto niliacha miaka 5 iliopita, ni utoto kwa sababu mtu anataka apostiwe kama justification ya kuwa anapendwa sana. Ukifikia kubadili picha ukafuta za zamani ooh kwahio umenifuta???

Uzuri alianza yeye kufuta zangu so hakijaaribika kitu. Nami nikafyeka zake ila lawama alianza yeye!!! Toka na hapo, im not a fan of SN posting.
Sio justification kwamba anapendwa sana ila ni kujua kwamba unajivunia yeye hata mbele za watu. Unafurahia kuwa nae.
Inatia moyo hamjui tuu.

Mwenzako alifuta kidogo na wewe ukafyeka zote. Ungebakiza baadhi.
 
The way a man should profess his love for you is by Marrying you. Hayo mengine ni kujitangazia aibu kua wewe ni mwanamke usijiheshimu unamegwa megwa kifala. Sijasema usiwe na mahusiano , nachomaanisha as an unmarried woman you should handle yourself with dignity and maintain your sexual life private. Achana na mbwembwe za mitandaoni. Hayo waachie celebrities ambao they make money through in decency.
Ukisoma post yangu vizuri utaona nimeongelea mume na mke na pia girlfriend na boyfriend.
Jibu lako limebase kwenye boyfriend na girlfriend na ukahitimisha.
Asante pia kwa maoni yako.
 
Sijaelewa vizuri ila....inategemea...

Na hoja zifuatazo.

1. Hali ya hewa.
2. Uchumi wa nchi na wa Dunia kwa ujumla.
3. Hali ya siasa nchini.
4. Kabila
5. Dini
Mimi sijamuelewa mtoa maada lakini nadhani point zitakuwa zile zile za
Poor communication
Lack of capital
Poor government support
Privatization of private sectors
N.k
 
Ha ha ha ha I knew that. If you put yourself in his shoes, you would think exactly the same way.

Yeah, he is your man, go ahead and publicize him.
But it's at your own risk, there are so many "nyaku nyakuz" out there who can steal him from you
Thank you.They can steal him for part time. But he will be mine, and all rights reserved.
"Alisikika mtu mmoja akisema kwa hofu"
 
Ukisoma post yangu vizuri utaona nimeongelea mume na mke na pia girlfriend na boyfriend.
Jibu lako limebase kwenye boyfriend na girlfriend na ukahitimisha.
Asante pia kwa maoni yako.
Watu wenye ndoa zao hawa hangaiki na social Media. Wewe inaonekana huna imani na boyfriend wako. Itakua ni wale slay kings walamba lips snapchat na Instagram ndo mana una force upostiwe ukidhani it is a way of protecting your relationship na kupata u main chick. Unahangaika bure. Focus na masomo yako. Mwanaume aliokutoa bikra na atakaekuoa ni wanaume wa nne tofauti. Chill
 
So what if he is not on social media?does he have to join on social platform and express the love?

I think it really depend on how you both interact with social media,if he kinda of guy who love to post and he doesnt post or acknowldge your presence on his life it might be he is hiding something.cant make sense for a guy who like to post anything related to his life on media and he cant post his gf.
Exactly, that's what I have been saying. Unless he is not active or he is not on social media, he's probably cheating.
 
Watu wenye ndoa zao hawa hangaiki na social Media. Wewe inaonekana huna imani na boyfriend wako. Itakua ni wale slay kings walamba lips snapchat na Instagram ndo mana una force upostiwe ukidhani it is a way of protecting your relationship na kupata u main chick. Unahangaika bure. Focus na masomo yako. Mwanaume aliokutoa bikra na atakaekuoa ni wanaume wa nne tofauti. Chill
Sikutegemea kama huku kuna watu mna akili fupi namna hii. Yaani sikutegemea kabisa.
Huu ni mjadala, na haumjui kila mtu zaidi sana unajijua wewe mwenyewe. Unaposema "watu wenye ndoa zao huwa hawahangaiki" unadhihirisha pia hautumii akili kwenye kuchangia.
Kilichokuwa kinahitajika hapa ni wewe unaonaje na sio kuanza kutoa theories zako zinazofanya kazi kwenye akili yako tuu.
Asante kwa kuchangia, soma maoni ya wenzako ujifunze tofauti kati ya "kushiriki mjadala kwa kutoa maoni" na "ku hukumu" ukijidai unajua watu wanavopaswa kuishi.
Karibu tena.
 
Wasichana waopenda kupostiwa Mitandaoni wana sifa zifuatazo:-
  1. Wanadate na mabishoo/brazamen/tozi/wauza sura
  2. Wanashindana na rafiki zao on social medias (wanaishia kuporwa wapenzi)
  3. Watoto kiakili sio kiumri (Nasisitiza hili)
  4. Wabaya wa sura na wanadeti na #1 hapo juu
  5. Wapo insecure/ hawajiamini kwenye mahusiano wanahisi wanaibiwa/ hawawaamini wapenzi wao hawa ukiwaoa ole wako uvue pete, utapelekwa hadi kwa Shekhe/Paroko/ Mchungaji
  6. Watoto wa kisure au Uswazi.
  7. Watumwa wa mahusiano
  8. WASHAMBA WA MITANDAO
Mimi sikuweki hata screen server 😎 ya simu ya torch but Utajipata kwenye SCREEN SERVER YA DESKTOP YA NYUMBANI
 
Sio justification kwamba anapendwa sana ila ni kujua kwamba unajivunia yeye hata mbele za watu. Unafurahia kuwa nae.
Inatia moyo hamjui tuu.

Mwenzako alifuta kidogo na wewe ukafyeka zote. Ungebakiza baadhi.
Ntampost mke wangu ambaye tuko officially kabisa. Other than that sifanyii GF hilo. Maana mwanamke unampost anaona kama yeye ndio yeye dunia nzima anaanza kejeli.
 
Wasichana waopenda kupostiwa Mitandaoni wana sifa zifuatazo:-
  1. Wanadate na mabishoo/brazamen/tozi/wauza sura
  2. Wanashindana na rafiki zao on social medias (wanaishia kuporwa wapenzi)
  3. Watoto kiakili sio kiumri (Nasisitiza hili)
  4. Wabaya wa sura na wanadeti na #1 hapo juu
  5. Wapo insecure/ hawajiamini kwenye mahusiano wanahisi wanaibiwa/ hawawaamini wapenzi wao hawa ukiwaoa ole wako uvue pete, utapelekwa hadi kwa Shekhe/Paroko/ Mchungaji
  6. Watoto wa kisure au Uswazi.
  7. Watumwa wa mahusiano
Sawa Alvin, turudi kwenye mada sasa.
Wewe utachukulia kawaida?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom