We acha tu... halafu ukiunganisha na joto na vumbi hili la bongo. Basi niko nyokonyoko.... Yani natamani ningeweza kumpigia simu yule daktari "aliyemdunga" Michael Jackson.
Na hapa jeee...?
![]()
Kwi kwi kwi!!!..anaota fweza au mke?Hahahahah Kikongwe Malecela atakuwa anaota! Duuuu hii kali
Na hapa jeee...?
![]()
Huyo mwenye kibaragashia yaelekea ni m-CUF, anafikiria mapanga shashaaa! na sio hotubaLazima watakuwa walikuwa wanausikiliza usanii wa bwana mkubwa. Nyimbo zake tamu sana.