Have a blessed HOLY WEEK

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
15,267
29,906
Juma takatifu. Leo ni ALHAMIS KUU.

Hakikisha unaendelea kutengeneza palipobomoka, takasa moyo juu ya wengine,samehe pale ulipokosewa, toa kwa wahitaji kadri unavyoweza!!

BWANA atusaidie kuwa na PASAKA NJEMA.

Have a blessed HOLY WEEK
 
Back
Top Bottom