Hausegirl katushika pabaya

Kaka unaharibu! Mie hata 5m ningetoa! Hiyo aibu mazara na visasi ni hikubwa Sana! Usimsikilize huyo mwanamke ni wa kupita ila kuharibi heshima kwa huyo ndugu yako ni mbaya Sana!na of course kitendo ulichofanya Mia cha kinyama ... Unaitwaje na mwanamke wakati w kazi kwake? Tena mke wa rafiki umle? Kwanza wewe ndio Mshawishi mkubwa! Haufai kwenye jamii!



 
apo dawa wewe meambie uyo mama akupe nafasi ugonge uyo housegirl then mpange dili nae ili aje afumanie live nahousegirl. apo house girl ataondoka mwenyewe bila kuaga.ila atakuaga wewe tu na atakueleza anapoenda ili uwe unaenda kumgegeda uko. faida apo utakuwa na wagegedwa wawili.
 
Wake za watu watamu ila songombingo lake ni noma kwelikweli. Wahenga walisema "ukiona mwenzio ananyolewa wewe tia maji, sasa nyie watu wa bize na kazi na visukari, chungeni marafiki.. Ni bora usiwe na marafiki kuliko wanafiki kama huyu!

Shida ni kwamba mwanamke anapenda mtu anayemfahamu na aliyemzoea, so ukiachilia mbali mme wake option za mwanzo huwa ni rafiki au hata ndugu wanaoishi hapo nyumbani.. Fanyeni mazoezi, kuleni vyakula vya asili ndo ukombozi wenu..

Yaani umetomba mke wa rafiki kisa pombe, then ukaendeleza bila ulevi, hiyo ni makusudi.. Mkarudi mjini ukaendelea kumtia hadi home kwa jamaa, tena sebuleni, hiyo ni dharau!!

Dah, tutakuwa tunaogopa kuona km ndo hivi!!
 
hutaki kuharibu vipi ndoa ya mwenzio wakati ushaharibu??????
eti pombe???!!!
Afu sebuleni????!!!

uwiiii.....!!!!!!!

Nimekumiss wangu, upo? Mii ananchanganya huyu.

Bila ya pombe, wakapanga kwenda dance.

Bila ya pombe wakashare hotel 1 a week through.

Bila ya pombe, wakachagua venue sebure.

Bila ya pombe, kaja jf, sasa pombe inahusika vp hapa!
 
Hako kascene ka kwenye gaari hako.,kama ukarudie!!with more details
 
hapo hakunaga siri tena ya watu 3 mpaka sasa hampo salama kamwe coz mpaka huyo bint kafikia kusema hivyo kaeni mkijua kuwa lazima kuna watu au rafiki zake aliwasimulia so nao wanajua hilo ndio maana wakamtia jeuri ya kudai 1 milion.

hapo ni ishakuwa shida daaa kama mnataka kuwa salam hapo ni bora mmfanyie umafia tuu atangulie mbele za haki no way maana yy ndio mwenye ukweli halisi na ndio mhusika mkuu
 
Kwa nn hamkufunga mlango? Yaani unachapa mke wa mtu kwake na mlango hamja lock kama aiingii kichwani
 
Mkwara tu huo hamna lolote!! Unataka tu mtu ashindwe hata kula msosi?

Haaaaaaaaah haaaaaaaaaahh ni shidaa unadhani wats next kama mshkaji yupo jf...? Anyway hatuombi yatokee hayo na i was just tryn to put on de shoes of the 3rd party..!
 
Kama sina uwezo bora rafiki yangu wa karibu ale mzigo wa mke wangu,mimi nitaendelea kupotezea kama sijui hata azae naye poa tu.
 
Nimekumiss wangu, upo? Mii ananchanganya huyu.

Bila ya pombe, wakapanga kwenda dance.

Bila ya pombe wakashare hotel 1 a week through.

Bila ya pombe, wakachagua venue sebure.

Bila ya pombe, kaja jf, sasa pombe inahusika vp hapa!

Shangaa wewe mweee!!!!

nipo asee vipi story ndo huleti tena???
 
Anyway katika yote huwezi kuvua nguo sebuleni bila ya kufunga mlango. Vinginevyo story yako ni nzuri
 
Shangaa wewe mweee!!!!
nipo asee vipi story ndo huleti tena???

LOL
wadau walipeleka attention zao kwa Mbasha na Flora, sasa hivi wamehamia kwa GWAJIMA!

Wakirudi na mimi nitaleta mzigo mmoja wa nguvu!
 
mimi nadhani tufike mahali tuache kuilaumu pombe. tujilaum,u wenyewe, hebu fikiria umetoka na mtu mmeenda club hapo napo pombe inahusikaje wakati bado hujanywa hapo wote mnaakili safi, mnakunywa pombe mnacheza mziki kwa kukumbatiana then mnavutana hadi hapo bado unalaumu pombe nadhani akili zetu hazipo sawasawa
 

Kuua tena, hilo wazo siyo kabisa. Nadhani hapo ni kuongeza tatizo badala ya kupunguza.

Wakiuua, wakafundulika inakuaje? Huu ushauri sio kabisa. Bora hiyo aibu kuliko kuua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…