Haunted houses zipo, chukua hatua

Tafuta pesa sheikh hakuna Cha mchawi Wala nini?hv umeishawahi kujiuliza kwanini mauza uza na zile Swaga za Yule mzee manyau huwa hazitokei Wala haIfanywi mikocheni,masaki,oyster bay,upanga?
Swaga na story za kichawi utazisikia Kawe,manzese,Tandale,buguruni,
 

Hauna knowledge ya kutosha kuhusu mambo ya Giza, hujui unachokiongea
 

Lambertville High School
Hii ni shule ipo USA ilifungwa kutokana na mauzauza.


Yorktown Memorial Hospital ipo texas ulikuwa kama una tattoo ama umetoboa sehemu yeyote ya mwili wako ukiingioa humo hospital unakufa ukafungwa.

Tafta na hizi 👇👇👇
👉🏾ancient ram inn
👉🏾Wicklow Gaol
👉🏾chateau de chateaubriant

Sasa hapo jiulize kama kwa wazungu mwenye utajiri kuzidi hao wa masaki na oysterbay kuna haya mambo vipi kwa waafrika itakuweje?
Kama halijakufika ni bora unyamaze tu
 
Kama hayajakukuta mkuu tulia, na omba Mungu yasikukute. Mimi nishakutana na haya mambo live. na huu ubishi wa kutokuamini ndo ulinifikisha huko
 
Haya mambo omba sana ktk maisha yako yasikukute.mm hapa hii Mara ya pili nikisafiri kikazi mikoani siku nikirudi ,nikilala usiku huo asubuhi nikiamka mikuu kwenye kisigino inauma sana na kutembea nashindwa.hapa nilipo nipo kitandani sina cha kufanya .nataka niikimbie kidogo hii nyumba
 
Na Lulu yananunua kabisa
 
Kuna kipindi mwaka 2014 kulikuwa na nyumba kubwa lakini hakuna mtu na watu walikuwa na ule ubishi wa kijinga. Kuna Dogo aliingia night kali aisee alisikia kama anechezea meno. Kutoka nje kuna bonge la bite [emoji16] Wiki mbili tu Dogo anaumwa kichaa cha mbwa plus malaria [emoji16]
 

Acha ufala Mkuu .. eti “Nilijaribu kuongea naye bila kupata jibu”[emoji28][emoji28].

Binafsi hapa ninapokaa sipaelewi elewi yaani.! Juzi juzi nilichelewa kulala, ilikuwa mida ya saa nane hivi ndio nikaenda kulala basi na pembeni kwangu nikaweka PC juu ya kistuli cha pembeni mwa kitanda.! Nilizima taa, na ule mwanga wa PC nikauelekeza kwangu nanikaupunguza kidogo. Lengo nikuwa naangalia kuna kitu nilikuwa nakipakuwa.
Nikajilaza ubavu ubavu nikaelekeza kichwa upande wa Ukutani. Sasa wakati nangojea kasingizi .. macho makavu mara nikaona kivuli kama mtu amevalia nguo kajifunika kichwa amekatiza mbele ya Pc na kivuli chake nikakiona huku ukutani. Sikugeuka haraka haraka, nikawa nimevunga kama sijaona chochote nikarudisha kichwa pole pole kuangalia sikuona chochote. Niligeuza pc ika face away. Nikaomba kimoyo moyo siku hiyo ikapita.
Na pia hii Nyumba nakaa sijui ina nini, ila Mungu naamini ananitumiaga walinzi, kuna wakati nahisi kabisa kuna vitu mle ndani. Kwa mfano, Kila ninapokuwa nataka kuingia ndani hata kabla sijagusa kitasa utasikia Mlango umejitikisa as if mtu ameusukuma alfu ukiwa umefungwa. Kuna muda huwa ikafanya hivyo natamkaga *Fucccccck * basi tu kujikaza na nimezoea tu sio siku moja mara kwa mara yaani.

Hizi Nyumba hizi mmh acha tu, ila kikubwa uzima. Kama unaamka salama hakuna shida nikumshukuru Mungu
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya mambo yapo sana na tunaishi nao ila wapo wanaojali mambo yao ila kuna wengine wakorofi hawataki uishi nao

Hapo naona wamekuona huwa mind sana ila wape Hi kila wakati wanasikia [emoji23][emoji23]ila wakikujibu usikimbie ndio madili hayo [emoji23]
 
Nilivyohamia kwangu kila usiku wadogo ni kuweweseka baadae ikahamia kwangu mandoto ya kula vyakula na "mzigo" na kuendesha gari usiku, asubuhi nakuwa mchovu hatari, nikaona isiwe tabu... Nikafanya mambo, baada ya siku kadha nasikia stori za kiwaki mtaani, nikajua mbaya anajitangaza
 
Mbaya Nipo nae jirani kabisa, na ndo huyu huyu aliniuzia eneo
 
Mtaani hapa kuna nyumba ilishashindikana kukalika, sasahivi naona majini ndio yanajitawala maana ikifika jioni yanawasha taa asubuhi yanazima.
Hii ipo maeneo mengi sana.. hata mtaani hapa ipo nyumba ya namna hii, wapangaji ukikaa sanaa week utahama mwenyewe.. ipo tu haina wakaazi kabisa na ni nzuri tu

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…