Zuia Sayayi
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 841
- 140
[h=3]JK Asaidia Vijana[/h]
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika hatua mbalimbali za kusaidia kufyatua matofali ya kisasa kwenye kambi ya mafunzo ya ujasiriamali na ujenzi kwa vijana 380 toka wilaya zote za Mkoa wa Pwani za Kibaha mjini Kibaha vijijini, Mafia, Kisarawe, Mkuranga na Rufiji.
Kambi hiyo ya mwezi mmoja iliyo katika kijiji cha Msoga, wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani, ni moja kati ya kambi kadhaa zinazoandaliwa mkoani humo, ambapo ikimalizika hii ya ujenzi mnamo february 29, itafuatia ya upandaji miti na mazingira itakayokuwa katika Chuo cha Elimu Kibaha. Baada ya Hapo itafuatiwa kambi ya ukulima wa mazao ya mbogamboga wilayani Rufiji.
Rais Kikwete ameusifu mkoa wa Pwani kwa kubuni kambi hizo na kutaka mikoa mingine iige mfano huo ili kuwapa vijana ujuzi wa kuweza kujiajiri wenyewe.
Ameahidi kuendelea kusaidi vikundi vya vijana vya aina hiyo ambavyo amevitaja kama hazina nzuri ya maendeleo na utatuzi wa vitendo wa tatizo la ajira.
Rais Kikwete ametoa mashine za kufyatulia matofali ya kisasa 76 ambapo kila moja kati ya vikundi 38 vilivyopo vitapewa mashine mbili mpya na waliyofanyia kazi wataondoka nayo na kuwa ya tatu. Pia Amewapa vijana hao mifuko 3800 ya saruji (kila kundi mifuko 100), viatu vigumu (gum boots) pamoja na mananasi toka shambani kwake.
Aisifiae mvua,,mtazamo wangu bora apewe miaka kumi kuongoza nchi tutapata maisha bora kila mtanzania
mtazamo wangu bora apewe miaka kumi kuongoza nchi tutapata maisha bora kila mtanzania
Jane bana..............watu wameshadiscuss eti upigwe ban lakini wapi............mwana unatisha
Hivi si ndio wewe jane_000 uliyekuwa unatafuta mwanamume mwenye pesa mingi! Hivi ulishampata?mtazamo wangu bora apewe miaka kumi kuongoza nchi tutapata maisha bora kila mtanzania
naaminiJane nasikia ni chakula ya mod mmoja. So usitegee apigwe ban
mtazamo wangu bora apewe miaka kumi kuongoza nchi tutapata maisha bora kila mtanzania
Mods com' on!!!!!!!!! Hii ni haki kweli? Bora FaizaFoxy afunguliwe ila huyu asulubiwe..... Pls Mods!!!!!!!
huoni aibu kuleta uharo wa mama yako hapa jukwaani?
huoni aibu kuleta uharo wa mama yako hapa jukwaani?
We mtoto acha akili finyu
Jane nasikia ni chakula ya mod mmoja. So usitegee apigwe ban
It's become and not be comeYou don't need to go to school to be come educated or wise
mtazamo wangu bora apewe miaka kumi kuongoza nchi tutapata maisha bora kila mtanzania