utafanya biashara gani na huu ngao wa umeme? Miaka 25 tunalipia richmond sio mchezo.
Acheni kutufanya mburula hatutaki elimu ya bure sie, kila mtoto akopeshwe pesa yake atajua shule atakayosoma.
Mfano tumeuona wanafunzi wa chuo kikuu wanakopeshwa pesa wanasoma kozi na chuo wanachotaka wanahitimu wanapata ajira na wanalipa mkopo.
Kwanini tusitanue hiyo huduma hadi vyuo vya ufundi shule za sekondari? Kila mtoto akopeshwe pesa yake achague shule anayotaka kusoma mbeleni akipata kipato alipe mkopo wake.
Mnataka kutugeuza dili muanze kupiga
hela za mishahara hewa madawati hewa
vitabu hewa huku watoto wetu wakiambulia sifuri.
Nasema elimu ya bure ya lowasa hatutaki.
ukitumia jina la mgombea urais wa ccm kupita kiasi ni hatari kwa afya yako.Acheni kutufanya mburula hatutaki elimu ya bure sie, kila mtoto akopeshwe pesa yake atajua shule atakayosoma.
Mfano tumeuona wanafunzi wa chuo kikuu wanakopeshwa pesa wanasoma kozi na chuo wanachotaka wanahitimu wanapata ajira na wanalipa mkopo.
Kwanini tusitanue hiyo huduma hadi vyuo vya ufundi shule za sekondari? Kila mtoto akopeshwe pesa yake achague shule anayotaka kusoma mbeleni akipata kipato alipe mkopo wake.
Mnataka kutugeuza dili muanze kupiga hela za mishahara hewa madawati hewa vitabu hewa huku watoto wetu wakiambulia sifuri.
Nasema elimu ya bure ya lowasa hatutaki.
We kweli bado ni zero kabsa katka ulimwengu huu,monduli haijawai kuwa nchi na wala hakujawai kuwepo rais wa monduli, Sera ya elimu inayetekelezwa mtwara au kagera ndio hiyohiyo ya monduli,nilifeli kwani shule haikuwa na madawati haikuwa na vitabu walimu hawafundishi kwa kukosa motisha.MBUNGE hana hela ya kusomesha watu bure katka jimbo lake wala hela ya kuleta maji au barabara, yeye kazi yake nikifuatilia MIPANGO ya serikali katka jimbo lake
leo mnataka na mwanangu nae apate sifuli kama mimi? Nipeni pesa nimie mwanangu akasome kaizirege atoke na div one.
Hapa hamna elimu ya bure mnataka kupiga dili lavitabu na mishahara hewa.
Hajawasomesha bure wamasai aje atusomeshe wakurya na wahaya? Aende zake huko.
Acheni kutufanya mburula hatutaki elimu ya bure sie, kila mtoto akopeshwe pesa yake atajua shule atakayosoma.
Mfano tumeuona wanafunzi wa chuo kikuu wanakopeshwa pesa wanasoma kozi na chuo wanachotaka wanahitimu wanapata ajira na wanalipa mkopo.
Kwanini tusitanue hiyo huduma hadi vyuo vya ufundi shule za sekondari? Kila mtoto akopeshwe pesa yake achague shule anayotaka kusoma mbeleni akipata kipato alipe mkopo wake.
Mnataka kutugeuza dili muanze kupiga hela za mishahara hewa madawati hewa vitabu hewa huku watoto wetu wakiambulia sifuri.
Nasema elimu ya bure ya lowasa hatutaki.
Mkuu unalishangaa gamba hilo?
Inabidi tumchague Lowasa anaweza akaivunja make wengine wote waliobaki kwenye baraza la maamuzi wameshindwa kulivunja na kamwe hawatalivunja isipokua Lowasa.
Nakupa taadhari, ukimchagua mtu yeyote tofauti na LOWASA jiandae kulipia tena 5years kwa Richmond
Ndio hatutaki elimu ya bure tunataka elimu ya CCM ya mzazi kuchangia gharama mfano kwa mtoto wa shule ya msingi tuchangie dawati elfu 20, chakula elfu 30, Mlinzi 3000, ukarabati elfu 10 n.k
CCM hoyeeeeeee
Kwanza lowasa akili za kujua elimu anazo? Anaweza kuwambia nini wasomi? Wakati hata nusu pg ya hotuba yake kuiweka kichwani hawezi?
acha kupumbaza watu, utatibuje bure pasipo kuboresha maslahi ya madaktari? Ulishasikia lowasa anasema ataboresha mafao ya walimu na madaktari? Anasema atawajali mama lishe na bodaboda hajasema atawajali walimu madaktari na polisi, hao kwake hawana nafasi kabisa.
Elimu bure Inawezekana kabisa. Kuna mianya mingi ya ukwepaji kodi Tanzania. Pia kuna vyanzo vingi vya kodi havijafanyiwa kazi Tanzania. Mfano ni property tax. Mtu anayemiliki jumba la billion moja lazima awe na uwezo wa kulipia angalau million 100 kwa mwaka. Wenye nyumba za kupangisha hawalipi kodi yoyote wakati watapata hela nyingi kuliko mshahara wa Mfanyakazi aliyelipa pango la nyumba husika.
Mgombea yeyote mwenye kigugumizi cha kupiga vita ufisadi hawezi kufanikisha elimu bure.
Na ieleweke huu msamiati wa elimu bure unatafsiriwa vibaya. Ni elimu inayoggarimiwa na walipa kodi. Si ya bure!