Arie power
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 2,552
- 1,020
Acheni kutufanya mburula hatutaki elimu ya bure sie, kila mtoto akopeshwe pesa yake atajua shule atakayosoma.
Mfano tumeuona wanafunzi wa chuo kikuu wanakopeshwa pesa wanasoma kozi na chuo wanachotaka wanahitimu wanapata ajira na wanalipa mkopo.
Kwanini tusitanue hiyo huduma hadi vyuo vya ufundi shule za sekondari? Kila mtoto akopeshwe pesa yake achague shule anayotaka kusoma mbeleni akipata kipato alipe mkopo wake.
Mnataka kutugeuza dili muanze kupiga hela za mishahara hewa madawati hewa vitabu hewa huku watoto wetu wakiambulia sifuri.
Nasema elimu ya bure ya lowasa hatutaki.
Pumbav mkubwaAcheni kutufanya mburula hatutaki elimu ya bure sie, kila mtoto akopeshwe pesa yake atajua shule atakayosoma.
Mfano tumeuona wanafunzi wa chuo kikuu wanakopeshwa pesa wanasoma kozi na chuo wanachotaka wanahitimu wanapata ajira na wanalipa mkopo.
Kwanini tusitanue hiyo huduma hadi vyuo vya ufundi shule za sekondari? Kila mtoto akopeshwe pesa yake achague shule anayotaka kusoma mbeleni akipata kipato alipe mkopo wake.
Mnataka kutugeuza dili muanze kupiga hela za mishahara hewa madawati hewa vitabu hewa huku watoto wetu wakiambulia sifuri.
Nasema elimu ya bure ya lowasa hatutaki.
Acheni kutufanya mburula hatutaki elimu ya bure sie, kila mtoto akopeshwe pesa yake atajua shule atakayosoma.
Mfano tumeuona wanafunzi wa chuo kikuu wanakopeshwa pesa wanasoma kozi na chuo wanachotaka wanahitimu wanapata ajira na wanalipa mkopo.
Kwanini tusitanue hiyo huduma hadi vyuo vya ufundi shule za sekondari? Kila mtoto akopeshwe pesa yake achague shule anayotaka kusoma mbeleni akipata kipato alipe mkopo wake.
Mnataka kutugeuza dili muanze kupiga hela za mishahara hewa madawati hewa vitabu hewa huku watoto wetu wakiambulia sifuri.
Nasema elimu ya bure ya lowasa hatutaki.
Watu wengine wamepata div zero sasa wakisikia elimu bure wivu unataka kuwapasua... Eti sitaki elimu ya bure???.... Hii elimu si kwa kila mtu bali kwa mwenye uwezo darasani kama umeishia zero hata ukiikubali haitakusaidia kwani ushashindwa
Nina wasiwasi unatafuta mtaji wa biashara kupitia bodi ya mikopo! Tunataka Elimu bure kwa watanzania woteAcheni kutufanya mburula hatutaki elimu ya bure sie, kila mtoto akopeshwe pesa yake atajua shule atakayosoma.
Mfano tumeuona wanafunzi wa chuo kikuu wanakopeshwa pesa wanasoma kozi na chuo wanachotaka wanahitimu wanapata ajira na wanalipa mkopo.
Kwanini tusitanue hiyo huduma hadi vyuo vya ufundi shule za sekondari? Kila mtoto akopeshwe pesa yake achague shule anayotaka kusoma mbeleni akipata kipato alipe mkopo wake.
Mnataka kutugeuza dili muanze kupiga hela za mishahara hewa madawati hewa vitabu hewa huku watoto wetu wakiambulia sifuri.
Nasema elimu ya bure ya lowasa hatutaki.
1. Sisi wengine tuliosoma enzi za utawala wa Mwalimu elimu bure inawezekana. Enzi zile ilikuwa elimu bure, huduma za afya bure na usafiri kwa wanafunzi bure.
2. Wakati ule uchumi wa Tanzania ulikuwa mdogo na sasa umekuwa hadi kufikia 7 per cent ya GDP.
3. Elimu bure maana yake ni kwamba serikali inatumia kodi na vyanzo vyake vya mapato kutoa huduma za uhakika kwa wananchi wake.
4. Mfano, Algeria elimu ni bure hadi chuo kikuu na serikali inatoa scholarship kwa wanafunzi Watanzania wengi tu kila mwaka. Ninawafahamu wawili ambao licha ya kusoma bure wanasaidia familia zao kwa pocket money wanayopewa. Mwaka 2010 nilienda Algiers na baadhi ya Watanzania walikuwa wanatuma euros hata 1,200 kwa familia zao nyumbani. Hivyo, elimu bure inawezekana maana ni namna tu serikali inavyoamua kuwekeza na kubana matumizi (kutofuja mali kama ilivyo kwa sasa). Rejea ripoti za CAG za kila mwaka uone mabilioni ya fedha yanayoliwa na pia serikali kushindwa kukusanya kodi.
5. Tukipata serikali makini na yenye mfumo mzuri unaoongozwa na katiba kama vile ilivyokuwa imependekezwa kwenye rasimu ya pili (ya Warioba) tutapata mabadiliko ya kweli maana viongozi watawajibika kwa wananchi na huduma za jamii zitaboreka.
Nina wasiwasi unatafuta mtaji wa biashara kupitia bodi ya mikopo! Tunataka Elimu bure kwa watanzania wote

Hilo nalo neno mkuu!! si ninasikiasikia ile gesi eti imeshafika mjini au!!?utafanya biashara gani na huu ngao wa umeme? Miaka 25 tunalipia richmond sio mchezo.
kuna kawimbo ka FID Q kana sema hivi "Naamka kistimu na ndoto kede,Elimu biashara tutasomaje" kwa ufupi ni kwamba serikali ni mdau mkuu wa elimu ya tanzania kwa minajili ya kibiashara na ndio maana ni vigumu ukatetea elimu bure kama hujayashika madaraka kamili ya nchi hii kuanzia state house, kinyume na hapo utakuwa umewafungua macho serikali ni wapi wakapige biashara elimu tena kama huko unakokusema! Kumbuka michango ya maabara aliisisitiza nani tena na kuadhibiwa watu waliadhibiwa kwakukosa hela ya kuchangia!!? ndio dili za madawati na na chaki watashindwa!?mbona hamzungumzii juu ya michango ya makwanja madawati majembe ream za karatasi kama zitakoma? Ona kule mwanza wenje aliwambia akiwa mbunge alimu itakuwa bure hadi anaondoka michango imeongezeka maradufu na yeye yuko kimya, tena mtoto asipoenda na pesa ni kichapo kwa kwenda mbele, bora ya private mtoto hana ada mkurugenzi anakupigia simu kukumbusha.
Acheni kutufanya mburula hatutaki elimu ya bure sie, kila mtoto akopeshwe pesa yake atajua shule atakayosoma.
Mfano tumeuona wanafunzi wa chuo kikuu wanakopeshwa pesa wanasoma kozi na chuo wanachotaka wanahitimu wanapata ajira na wanalipa mkopo.
Kwanini tusitanue hiyo huduma hadi vyuo vya ufundi shule za sekondari? Kila mtoto akopeshwe pesa yake achague shule anayotaka kusoma mbeleni akipata kipato alipe mkopo wake.
Mnataka kutugeuza dili muanze kupiga hela za mishahara hewa madawati hewa vitabu hewa huku watoto wetu wakiambulia sifuri.
Nasema elimu ya bure ya lowasa hatutaki.
WW inaeonekana ni mjinga,mbumbu, ata kichwani shule hakuna. Na utakuwa umelogwa na aliekuloga ni ccm na alieiloga ccm ashakufa tahadhari usije ukamrithisha mtoto Wako huo ujinga Wako.
We jamaa **** kweli !! nenda kaoge umfate mme wako chumbani!!
Eti nae atalipwa buku7 duuuh kweli elimu ni muhimu sana
Acheni kutufanya mburula hatutaki elimu ya bure sie, kila mtoto akopeshwe pesa yake atajua shule atakayosoma.
Mfano tumeuona wanafunzi wa chuo kikuu wanakopeshwa pesa wanasoma kozi na chuo wanachotaka wanahitimu wanapata ajira na wanalipa mkopo