Hatupendi ila tutafanyaje

Ila wanawake nao sio wa kuwaamini., ukiwauliza kuhusu hayo mambo yanakuaga na story za simanzi nyingi ni za uongo. Usimuonee huruma mwanamke hata akija na story ya simanzi. Wewe chapa mpe pesa mliokubaliana achana nae
 
Comment pekee ya maana kwenye huu uzi ni hii, ila Soulja boy hujatoa location ☺️
 
Tutegemee hela kutoka kwako wakati we mwenyew umefika mjini umeanza kutoa laana baada ya kutelekezwa
Aisee mdogo angu zile ni jokes kuchangamsha Uzi, beside nipo kwenye hustle since nikiwa 18.

Wakati wewe uki beba panga una jiona fundi, watu tuna saka ngawira bila skendo za kipuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…