Kwa hapa tulipofikia naunga mkono hoja ya get rich or die tryingNdio maana tuna risk maisha yetu
πππ Dah!Mmeambiwa muende VETA, bado hamsikii tyuuh?
Shauri zenu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naunga mkono hoja mkuuMaumivu ya ukosefu wa ajira ni makali sana, nimetumia takribani miaka sita kupambana mimi mwenyewe binafsi mpaka kufikia leo hii angalao naanza kuona mwanga, kwaiyo ni hali ambayo naijua vizuri. Again, maumivu ni makali sana, especialy ukiwa mwanaume.
TUnafahamu kabisa wanasiasa hawana maarifa ya kukabiliana na ili tatizo kwaiyo ni vyema watumie busara kukaa kimya tu kuliko kuchokonoa nyongo za vijana
Asije kesho akaukimbia Uzi wake ππToka hapo bar kijana
Ukiwa mwanaume na Hali hii unaweza dhani umezikwa haiMaumivu ya ukosefu wa ajira ni makali sana, nimetumia takribani miaka sita kupambana mimi mwenyewe binafsi mpaka kufikia leo hii angalao naanza kuona mwanga, kwaiyo ni hali ambayo naijua vizuri. Again, maumivu ni makali sana, especialy ukiwa mwanaume.
TUnafahamu kabisa wanasiasa hawana maarifa ya kukabiliana na ili tatizo kwaiyo ni vyema watumie busara kukaa kimya tu kuliko kuchokonoa nyongo za vijana
Si ndioAsije kesho akaukimbia Uzi wake ππ