Hatuna deni na huyu Mwamba🙏🏼 Kama hakukuachia maarifa basi alikuachia ujasiri,Gone too soon Mwamba.
Huyu Mwamba huyu alikuwa ni kiumbe wa ajabu sana kuwahi kutokea barani Afrika.
1. Ninapoyatazama masoko nchi nzima huwezi amini kama tupo Afrika
2. Fly overs mpaka unaogopa
3. Madaraja hususani Tanzanite na Daraja la busisi, Wallah Mungu ampe pumziko la milele
4. Barabara tena mfano mmoja tu wa barabara ambayo imeishia pale Kimara..... Roho zinatuuma sana Watanzania.
5. SGR na miundombinu yake zikiwemo Tunnels pale Kilosa, aah JPM pumzika Mzee.
6. Madege na viwanja vya ndege... Kha
7. Funga kazi ni ule mradi wa kuzalisha Umeme (JNHP); pamoja na wahuni kuuhujumu lakini ule mradi unatusha.
Maswali ya kujiuliza ni kwamba huyu mwamba alitoa wapi mapesa yote haya? Jibu ni kwamba Tanzania Ina pesa ila hupigwa tu.
Swali jingine, kwa Sasa tunakwama wapi?
JPM Legacy yako haihujumki milele
R.I.P Mwamba