Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 9,347
- 20,049
Atashinda yeye, lakini kafa tayariNenda vijijini ambako hawajui Twitter wala JF, weka sanduku la kura lenye picha ya JPM na picha ya huyu aliyepo ndo mtajua raisi wa wananchi.
Atashinda yeye, lakini kafa tayariNenda vijijini ambako hawajui Twitter wala JF, weka sanduku la kura lenye picha ya JPM na picha ya huyu aliyepo ndo mtajua raisi wa wananchi.
Katuachia MAJANGA huko NSSF....
Jifunze kuandika vitu kwa ufupi, specific and to the point!Hayo manyangalakata yako uliyoyaandika unataka nani asome?Uniambukize ujinga?
Sasa ulini-quote ili iweje weye mjukuu-burushi wa pimbi?Hebu kaogeshe watoto na weye mwenyewe uoge!😂😂😂😂👆👆pimbi wewe kwani me nimekuomba usome au kama huna mda pita kama haujaona
Asemwe, kuna mengi watoto wanapaswa kujifunza.Kwa wananchi too late Sana kumchafua jamaa , ni Bora mkaendelea na mikakati yenu tuu , kumsema mshikaj Kwa wananchi mnaonekana watu wa hovyo mno , Kwa vile ashakufa hawezi kujitetea ni Bora mkakomaa na mambo ambayo wananchi watawaelewa , Ila kujibanza kwenye kutukana maiti, inaonyesha jinsi gani msivyo na hoja na uwepo wa jiwe ndo uliwaweka mjini..kumbukeni maisha bado yanaendelea...!!
Mnajisumbua bure,kwa uharibifu huu na bei hizi afadhali marehemu Mara elfu.Marehemu hasemwi hilo tunazingatia ,ila kwa mwendazake mratusamehe tutamsema mpaka akome
Kwa wananchi too late Sana kumchafua jamaa , ni Bora mkaendelea na mikakati yenu tuu , kumsema mshikaj Kwa wananchi mnaonekana watu wa hovyo mno , Kwa vile ashakufa hawezi kujitetea ni Bora mkakomaa na mambo ambayo wananchi watawaelewa , Ila kujibanza kwenye kutukana maiti, inaonyesha jinsi gani msivyo na hoja na uwepo wa jiwe ndo uliwaweka mjini..kumbukeni maisha bado yanaendelea...!!
Yaani MWAKA mzima mnamnanga marehemu, na itaendelea Hadi lini Hadi 2025? Me nna wasiwasi Kuna watu wananufaika na tabia hii. Wamepata pa kujifichia ndomana Hadi sasa hakuna hata Barabara mpya ilojengwa.
Kwa maneno mengine wahitaji katiba mpya ili kuhakikisha uwajibikaji. AhsanteRipot za CAG huwa ni SAwa na ngojera za kusoma KILA mwaka, huwa hazifanyiwi Kazi wala hazizuii wezi kuiba.
Mwakani tutazisikia tena, sijui sasa CAG ana Kazi gani zaidi ya kuchonganisha watu na serikali, kama ripoti hazifanyiwi Kazi si SAwa na ngojera tu.
HakikaHii kauli, Marehemu asemwi. Kuna tofauti kati ya kumsema vibaya marehemu na kusema matendo yake. Utamuduni mzuri ni kila mtu asemwe kwa matendo yake ili tujifunze kuwa vitabu vizuri ktk maisha. Ni aibu kujenga utamaduni wa kuogopa Mtu aliye kufa kuliko tunavyo heshimu haki/uadilifu.
Godbless Lema
View attachment 2189793
Yaani MWAKA mzima mnamnanga marehemu, na itaendelea Hadi lini Hadi 2025? Me nna wasiwasi Kuna watu wananufaika na tabia hii. Wamepata pa kujifichia ndomana Hadi sasa hakuna hata Barabara mpya ilojengwa.
Nenda vijijini ambako hawajui Twitter wala JF, weka sanduku la kura lenye picha ya JPM na picha ya huyu aliyepo ndo mtajua raisi wa wananchi.
Linganisha mwaka1 wa jiwe na WA huyu sasa ulete majibu. Tanesco vp, mafuta Bei ilikuwaje, unajua ilipofichwa ripoti ya nn kilichokuwepo Kwa KIBUBU wakati anatutoka? Au nawe UNARAMBA ASALI?Weka kilomita za barabara alizojenga dhalimu linganisha na za wakati wa JK, au zile kelele za propaganda zake zilikuchanganya nini? Yule alikuwa debe tupu.
Sasa ulini-quote ili iweje weye mjukuu-burushi wa pimbi?Hebu kaogeshe watoto na weye mwenyewe uoge![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji115][emoji115]
Hakuna rais asieiba africa ,kikwete katuibia sana ila hatumchukii,tatizo la lile jinga lililokufiliambali limeua sana limeteka sana watu wamelawitiwa linefunga bila hatia sanaaMnajisumbua bure,kwa uharibifu huu na bei hizi afadhali marehemu Mara elfu.
Usipende kujivunia ujinga! Unataja kabsa ..nenda vijijini..!Nenda vijijini ambako hawajui Twitter wala JF, weka sanduku la kura lenye picha ya JPM na picha ya huyu aliyepo ndo mtajua raisi wa wananchi.
Mind your own business...Huyu jamaa kabla ya kupata kazi CDM na baada ye Ubunge wa Arusha mjini alikuwa anajishushulisha na kazi gani iliyo mpatia umaarufu?
Kuzuia mchanga wa dhahabu usipelekwe nje ni UKATILI? Yaani kuwakatia mirija waliokuwa wanapata mishahara hewa ni UKATILI? Mbona MAZURI hamsemi?Magufuli alikuwa katili sana. Lazima asemwe tu. Hakuna namna. Hata waliokuwa wazuri akina Nyerere wansemwa, sembuse dikteta?