Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,939
- 4,589
🤣🤣🤣🤣lakini tuseme ukweli, ilifika kipindi wajinga wakaongezeka kupita kawaida
View attachment 2189892
🤣🤣🤣🤣lakini tuseme ukweli, ilifika kipindi wajinga wakaongezeka kupita kawaida
View attachment 2189892
Aliwadanganya wajinga kama nyie. Unajua hatima ya ule mchanga uliishia wapi? Jiwe aliokota wajinga wengi sana hii nchi.Kuzuia mchanga wa dhahabu usipelekwe nje ni UKATILI? Yaani kuwakatia mirija waliokuwa wanapata mishahara hewa ni UKATILI? Mbona MAZURI hamsemi?
Kuzuia mchanga wa dhahabu usipelekwe nje ni UKATILI? Yaani kuwakatia mirija waliokuwa wanapata mishahara hewa ni UKATILI? Mbona MAZURI hamsemi?
Hebu nisaidie wale waliopatikana kwenye sandarusi wanaweza kuwa waliofanya nini?Hakuna rais asieiba africa ,kikwete katuibia sana ila hatumchukii,tatizo la lile jinga lililokufiliambali limeua sana limeteka sana watu wamelawitiwa linefunga bila hatia sanaa
Ndio maana historia zinaandikwa. 🤣🤣Hii kauli, Marehemu asemwi. Kuna tofauti kati ya kumsema vibaya marehemu na kusema matendo yake. Utamuduni mzuri ni kila mtu asemwe kwa matendo yake ili tujifunze kuwa vitabu vizuri ktk maisha. Ni aibu kujenga utamaduni wa kuogopa Mtu aliye kufa kuliko tunavyo heshimu haki/uadilifu.
Godbless Lema
View attachment 2189793
Ndio maana historia zinaandikwa. 🤣🤣
We jamaa hujielewi. Ule Mchanga wa Makinikia unajua ulienda wapi mpaka leo?Kuzuia mchanga wa dhahabu usipelekwe nje ni UKATILI? Yaani kuwakatia mirija waliokuwa wanapata mishahara hewa ni UKATILI? Mbona MAZURI hamsemi?
🤣🤣🤣🤣Siyo kuandikwa na watu wengine tu. Mzee Mwinyi alisema unajiandikai ukiwa hai.
Alipokuwa anatesa watu Alikuwa anapata nini?Mkimaliza kumsema kipi kinafata/mnapata nini.?
Mkimaliza kumsema kipi kinafata/mnapata nini.?
Huyu jamaa kabla ya kupata kazi CDM na baada ye Ubunge wa Arusha mjini alikuwa anajishushulisha na kazi gani iliyo mpatia umaarufu?