alafu watanzania wengi ni wavivu kufikiri acha niwaambie kitu kimoja kwa uongozi wowote ule uwe mbaya au uwe mzuri hua lazima kuwepo na watu watakao kufa ataa iwaje hii ni kutoka enzi za mababu ata kwa izi dini tulizo letewa wanasema mfalume alikua akimwabudu MUNGU lakini uyo mfalme aliua, ukisoma ata kwenye Biblia wako watu walio kufa kwaajili ya kupisha maendeleo kwa sababu walikua wakinufaika wao kwa mfano kwenye Biblia alikuwepo Daudi aliua yule tena sana tuhh lakini alikua mtumishi wa MUNGU. watu mnamsema magufuli lakini yule alikua kiongozi na Rais ila kwa sasa tunae rais na sio kiongozi na ndio mana kuna madudu mengi sana yantokea ya kuibiwa mali za nchi icho ni kidogo tuhh fungua akili yako wewe alafu kua mzalendo pia magufuli hayupo pambania nchi yako ndio mana nakuita mshamba mnajadili mambo yaliyo pita alafu ya kipuuzi mtakuja kuta siku nchi yenu imeuzwa alafu hauna pa kuweka kizazi chako fungueni akili watanzania acheni kulala mda ote kimawazo