Hatujui kesho yetu

Mkuu hapa kweli umeongea
 
Acha usenge basi

Huwez kuandika, bila kusema utumwa
Wewe ni mtumwa sasa unajikataa wewe sio mtumwa? Nafsi inakusuta mtumwa umesoma kwa taaaaabu sana at the end of day Ajira hujapata kazi ya maana huna maisha yako ni unga unga mwana afadhari ya Jana your master has abandoned you but still he/she is looking after you to make sure you don't cross the border and run away minyororo imekuzidi uwezo mtumwa huna mtaji hata wa kuanzisha biashara ya kitumwa wewe ni mtumwa, ndugu zako wamekuchoka kwa vizinga na vibomu mtumwa lini utatoka utumwani mtumwa?

Pole sana mtumwa

Ndugu na jamaa wa kukutoa utumwani huna mtumwa umebakia kua mtumwa hata marafiki huna mtumwa wanawake unaowasogelea na kuwaomba ujenge nao urafiki uweze kujenga familia wanakukimbia mtumwa kwa sababu wewe hauna kitu mtumwa

Pole sana mtumwa

Umebakia mpweke huna kitu umechoka umechakaa nguo moja Mwaka mzima mtumwa kula yako ya tabu mtumwa huna ndugu huna jamaa huna rafiki huna kazi huna Ajira huna usafiri wa kutembelea mtumwa nyumba huna zaidi ya nyumba ya urithi mtumwa yaan huna mpenzi huna mchumba huna hata mtoto wa kusingiziwa mtumwa hadi sasa umri wako unaenda unakimbilia miaka 40 ushavuka miaka 30 hata bado haujaoa mtumwa

Pole sana mtumwa

Kazi pekee uliyonayo ni ya kubangaiza mtumwa unatumikishwa kazi kubwa na ngumu ya shuruba yenye kutumia nguvu nyingi ya mwili na akili yenye ujira kidogo na kiduchu usiyoweza hata kutimiza mahitaji yako ya muhimu mtumwa unatumikishwa siku nzima bila mlo kwa siku na unaambiwa muda wote uwe active mtumwa yaan unatumikishwa na chakula hupewi mtumwa huo ni utumwa mtumwa yaan wewe unalipwa kiduchu huku your slave master akiingiza Pesa nyingi mtumwa kwenye 100 anakupa 1 yeye anabakia na 99 mtumwa kuchwa kutwa unabaki kujifungia ndani unalia na kusononeka mtumwa unaishi na maumivu ya moyo yasiyo na tiba mtumwa unaishi maisha ya kitumwa huku ukiambiwa upo huru mtumwa ingali ukweli ulio hai ni kwamba bado upo utumwani mtumwa hauna Uhuru wowote mtumwa

Pole sana mtumwa

Kila siku unajiuliza hivi kweli utafika kesho? mtumwa kwa siku mlo mmoja unaupata kwa taaabu sana mtumwa kwako Milo mitatu kwa siku ni Jambo la anasa mtumwa umeishia kukonda mwili na kupatwa na tatizo la afya ya akili mtumwa barabarani unatembea ingali ukiwa unaongea peke yako km kichaa au punguani asie na akili mtumwa kumbe ni degree holder mwenye GPA ya 4.5 yaan wewe ni best student Ila ni mtumwa mlo kwa siku kuupata kwako ni kwa taaabu sana hapo ni kwa kufanya kazi ngumu za shuruba kuchosha mwili na akili na kuhatarisha uhai na afya yako ya mwili na akili mtumwa

Pole sana mtumwa

Ndio ninakuambia wewe wewe hapo unaesoma shairi hili wewe ni mtumwa wewe ni mtumwa bado nakuambia tena wewe ni mtumwa bado upo utumwani mtumwa

Pole sana mtumwa

Pokea shairi hili mtumwa na ulisome kwa umakini mtumwa

Pole sana mtumwa
 
Shame on you
 
Kuna mmoja alikua mlinzi now ni msoma meter za maji dawasa
 

Hoja yake haina tofauti na watu wanaosema kama umeamka salama shukuru Mungu (kwa believers) maana wengine wapo hospital. Unashukuru at the expense of others.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…