The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 1,119
- 2,427
Mwanangu acha tuHeshima na Nidhamu ndio msingi wa Maisha bora.
KONGOLE KWAKE.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
As long as mtu bado ana pumua, yuko hai, anaamka asubuh kwenda kuzurura na kurudi jioni (na time nyingine anarud kakosa), usije ukamdharau. Labda afe na umasikini wake, hapo labda.Bonjour
Jamani haya maisha , tuache kudharau watu ambao tunawajua na tusio wajua
Kuna jamaa yangu mmoja, nili meet nae almost 5 years ago alikuwa boda boda, alikuwa ana park kimara pake stend ya kuelekea Bonyokwa, nakumbuka alikuwa amechoka na kama kapoteza future , ila Leo tumekutana tena hapa Kambi ya jeshi Twalipo.. ni officer wa jeshi jwtz , ana nyota tatu (3)
Ana mdogo wake pia , ni soldier komando , last time nili meet nae, alikuwa school driving..
Aisee ime nipa hope sana
Kuhusu alifikaje , kasema ataniambia ..
Tuache kuwachukulia watu poa .
Bora hiyo Mzee.As long as mtu bado ana pumua, yuko hai, anaamka asubuh kwenda kuzurura na kurud jioni (na time nyingine anarud kakosa) , usije ukamdharau. Labda afe na umasikin wake, hapo labda
LIfe is full of wondersBora hiyo Mzee.
Mm Kuna jamaa namjua kabisa, na Huwa tunaongea, before alikuwa mlinzi wa getini .. now ni Afisa habari Wizara ya kilimo ..
Unaheshimu mtu au unaheshimu mafanikio aliyoyapata mtu, na heshima kwa mtu inakuja kutokana na mafanikio yake tu?Bonjour
Jamani haya maisha , tuache kudharau watu ambao tunawajua na tusio wajua
Kuna jamaa yangu mmoja, nili meet nae almost 5 years ago alikuwa boda boda, alikuwa ana park kimara pake stend ya kuelekea Bonyokwa, nakumbuka alikuwa amechoka na kama kapoteza future , ila Leo tumekutana tena hapa Kambi ya jeshi Twalipo.. ni officer wa jeshi jwtz , ana nyota tatu (3)
Ana mdogo wake pia , ni soldier komando , last time nili meet nae, alikuwa school driving..
Aisee ime nipa hope sana
Kuhusu alifikaje , kasema ataniambia ..
Tuache kuwachukulia watu poa .
Unaheshimu mtu au unaheshimu mafanikio aliyoyapata mtu, na heshima kwa mtu inakuja kutokana na mafanikio yake tu?
Ungemkuta kachoka zaidi ya alivyokuwa miaka mitano iliyopita ingekuwa sawa kumchukulia poa tu?
Tuwaheshimu watu kwa sababu kesho wanaweza kupata mafanikio zaidi na hatujui nani atapata mafanikio zaidi?
Au tuwaheshimu watu tu, kwa sababu kuwaheshimu watu ni jambo jema, bila kujali kama watu hawa tunaowaheshimu watapata mafanikio au hawatapata?
Kaka, mimi ni bachelor Holder, ila kazi ninayofanya, acha tu.Si kila boda au mtu anayefanya kazi Fulani ambayo wengi normally tunaona haina hadhi au official amepoteza direction. Mwingine anafanya kama njia ya kutimiza NDOTO.Kwa sabu kabla ndoto haijatimia kuna maisha ya kawaida na ili mkono uende kinywani na uende chooni lazima ujiegeshe sehemu fulani. Cha msingi ni kusimamia LENGO ili kutimiza NDOTO,,, bravo na nakupa maua yako jamaa.Huyo ndo real Warrior.
Maisha yanabadilika. Waluya wa Kenya wanasema vindu vichenjaga. Maana yake mambo hubadilika. Samia Suluhu Hasan le president kuna baadhi ya mawaziri walikuwa wanamchukulia poa akiwa makamu wa raisi. Sasa hv ndio president mwenyewe.Bonjour
Jamani haya maisha , tuache kudharau watu ambao tunawajua na tusio wajua
Kuna jamaa yangu mmoja, nili meet nae almost 5 years ago alikuwa boda boda, alikuwa ana park kimara pake stend ya kuelekea Bonyokwa, nakumbuka alikuwa amechoka na kama kapoteza future , ila Leo tumekutana tena hapa Kambi ya jeshi Twalipo.. ni officer wa jeshi jwtz , ana nyota tatu (3)
Ana mdogo wake pia , ni soldier komando , last time nili meet nae, alikuwa school driving..
Aisee ime nipa hope sana
Kuhusu alifikaje , kasema ataniambia ..
Tuache kuwachukulia watu poa .
Don’t worry bro, the best issue ni kutokata tamaa kamwe regardless of what they say, coz no one can live your life on your behalf. Keep on moving little by little you will reach your destiny.Kaka, mm ni bachelor Holder, ila kazi ninayo fanya ,acha tu
Ila naamini Kuna siku nitakuwa mkubwa
Lengo lake zuri sana nimelielewa la kutumotivate lakini mfano wake wa mchongo.....Chai