hatujaonana lakin tunapendana!

hatujaonana lakin tunapendana!

aljun raj

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
203
Reaction score
46
ki ukweli mimi nimetokea kumpenda dada ,,pja kutoka kwenye mtandao wa fb, na sio siri tunapendana sana kila siku tunaongea na cm kwasababu yko chuo na anatarajia kumaliza mwaka huu kaniambia kuwa akija dar tu anapenda aninone then hata akiwaga na shida yapesa kiasi kadhaa huwa namtuia kwamahitaji yake binafsi sasa najiulia ndoa itakuwa kweli au? maana dini tofauti!
 
aisee! Kwa hiyo naye anakupenda ee?
 
Kwenye FB thubutu kuna mambo ya ajabu. Kuna wengine married wanawake kwa wanaume lakini wako bize kwenye kutafuta relationships. Ndo maana social networks huwa wanashauri just add people you know...
 
Hahahaaa..."hata akiwaga na shida ya pesa kiasi kadhaa huwa namtumia" lazima akupende msubiri amalize chuo atakuja Dar.usisahau kumtumia nauli ya tiketi ya ndege. Nyie ndo mnaitwa mazombi aise..
 
kuoana sio swala dogo.., huko nyie bado sana.pia kuongea na simu co kigezo cha kupendana wakt hamjaonana. mfahamiane vizuri kwanza. chunga ucje ukawa unatumika tu
 
Maadamu umesema mna mawasiliano ya simu, kama wewe ni mtu mzima mwenye uelewa wa kutosha hata kwenye mazungumzo yenu tu unaweza kujua ni aina gani ya mtu unayeongea naye. Hayo mambo ya ndoa eti dini ni tofauti hayana shida yeyote anaweza change ama vipi ndoa za serikali na kimila hazitaji dini, ni just makubaliano yenu.

Ila kuwa makini pamoja na wingi wa watu wenye jinsia ya kike sio wote ni wanawake wa kuolewa usije ukawa ATM, then ukasema ulishauriwa vibaya huku Jf, kuwa makini.
 
Doh! Haya mambo ya ajabu kweli! Kama unaskiaga wanatumikia wengine wanatumikiwa... Usiwd ka mbulula kaka. Ucjiamini kiasi hicho. Hawa wanawake huwa wanabadili uamuzi hatakama kesho nindoa.... Wewe endelea kutumikia2 kaka ila kumbuka. Kuniamwingine kama wewe anatumikiwa na huyohuyo dada.... Komaaaaa....mimshenga....
 
ki ukweli mimi nimetokea kumpenda dada ,,pja kutoka kwenye mtandao wa fb, na sio siri tunapendana sana kila siku tunaongea na cm kwasababu yko chuo na anatarajia kumaliza mwaka huu kaniambia kuwa akija dar tu anapenda aninone then hata akiwaga na shida yapesa kiasi kadhaa huwa namtuia kwamahitaji yake binafsi sasa najiulia ndoa itakuwa kweli au? maana dini tofauti!
chunga sana kuna majini
chunga sana kuna watu wanatafuta wanaume wa kushika ugoni
kuna jamaa alikuwa anachat na mwanamke siku wakakutana jamaa anataka kupiga kitu mwanamke sehemu muhimu ameoza jamaa kapigwa butwaa akaambiwa kuwa asiseme siku akaja kuongea ndio ikawa mwisho wake wa maisha duniani mleta uzi chunga sana!
 
ki ukweli mimi nimetokea kumpenda dada ,,pja kutoka kwenye mtandao wa fb, na sio siri tunapendana sana kila siku tunaongea na cm kwasababu yko chuo na anatarajia kumaliza mwaka huu kaniambia kuwa akija dar tu anapenda aninone then hata akiwaga na shida yapesa kiasi kadhaa huwa namtuia kwamahitaji yake binafsi sasa najiulia ndoa itakuwa kweli au? maana dini tofauti!

alafu inaonesha we ni zoba wa mapenzi
source;nimechunguza threads zako.
 
wacha ulimbukeni...siku mtakaoonanna live ndio mwisho wa mapenzi yenu ya kalamu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom