Hatuambiwi Kingunge ni mzaliwa wa wapi

Hatuambiwi Kingunge ni mzaliwa wa wapi

Kingunge ni Mtu wa Kilwa ambae ni Mlowezi wa Dar Es salaam kwa Miaka zaid ya 60
Duh! Na Kawawa vivyo hivyo. Kurudi kwao hawataki yaani hata kuzikwa hawataki kabisa kusikia habari za kwao walikozaliwa. Iko shida sio bure.
 
Kingunge ni mkomunisti toka ugogoni kijiji cha Kigwe wilayani Bahi. Wazazi wake walimsomesha kwa biashara ya chumvi toka Lukulo. Mdogo wake yupo Ubungo msewe pale ni kiongozi serikali za mitaa kupitia Chadema. Ni maarufu sana. Najua hivyo tu
Uongo
 
Back
Top Bottom