Hatuambiwi Kingunge ni mzaliwa wa wapi

Hatuambiwi Kingunge ni mzaliwa wa wapi

Miiku

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
3,835
Reaction score
2,648
1952e57769b59960c43407a3e2e02e23.jpg

. Wana Bodi Amani ya Bwana iwe Nanyi,

Ni kweli kwamba mzee Kingunge Ngombale Mwiru Hatunae tena,
huyu mzee aliwahi Kuwa kiongozi wetu.
naomba kujua alizaliwa wapi na ni Kabila gani na inakuwaje azikwe Makaburi ya kinondoni.
Kuna kipindi nilijua Kingunge Mwiru ni ndugu wa Damu na chief Kinjikitile Mwale,

niliamini kabisa pale niliposikia Ana mtoto anaye itwa "Kinje" nilimpenda huyu mzee kwa ujasiri wake, ucheshi wake
kuifahamu itikadi
yake vizuri,
kuwa na msimamo (tujifunze hili)
kule kuongea kwake kwa "KOMA" pia jina Lake limekaa kiasili
"Kingunge Ngombale--Mwiru "

tunaomba wanaomjua kuzaliwa kwake watuelezee.

Tafadhali mods msiunganishe huu uzi.
Buriani Kingunge Ngombale Mwiru Watanzania wanakulilia
 
Wana Bodi Amani ya Bwana iwe Nanyi,

Ni kweli kwamba mzee Kingunge Ngombale Mwiru Hatunae tena,
huyu mzee aliwahi Kuwa kiongozi wetu.
naomba kujua alizaliwa wapi na ni Kabila gani na inakuwaje azikwe Makaburi ya kinondoni.
Kuna kipindi nilijua Kingunge Mwiru ni ndugu wa Damu na chief Kinjikitile Mwale,

niliamini kabisa pale niliposikia Ana mtoto anaye itwa "Kinje"
tunaomba wanaomjua kuzaliwa kwake watuelezee.
Huyu jamaa ni M communist kutoka China.
 
Kingunge bwana ni mkurya kutoka Tarime
 
Swali zuri....Mimi nafahamu kuwa yeye ni mzaliwa wa Kilwa Kipatimu....kabila lake ni Mmatumbi....Kilwa Kipatimu kuna Misheni ya siku nyingi tangu ukoloni..wengi wa eneo hilo walipata elimu iliyokuwa ikitolewa na wamissionari, nadhani Kingunge ni miongoni mwao...kumbuka kuna Kilwa Kivinje...
 
Ngombale Mwilu anatoka ukoo wa Kinjekitile Ngwale, Chifu aliyepigana vita ya majimji kuupinga utawala wa Wajerumani.

Kinjekitile Ngwale alikuwa na uwezo wa kuongea na mizimu. Hizi ni imani za asili kabla ya ukoloni kuingia
Source mama, ili nami nizame chumvini
 
Swali zuri nami nilipenda kufahamu hilo.

Ila majibu ya wadau duh!!! Kila mtu anajibu lake.
 
Back
Top Bottom