Hatua zinaendelea kuchukuliwa kuhusu tuhuma na shutuma zilizotolewa

Zitto itabidi ajiuzulu unaibu katibu mkuu kwa muda ili kupisha uchunguzi huru na wa haki. Pia Juliana Shonza afanye hivyo. Naamini katika uchunguzi huru na wa haki. Siamini katika hisia, majungu, unafiki, chuki binafsi na tamaa ya vyeo. Ahsante kwa ufafanuzi Mnyika.
 
Zitto itabidi ajiuzulu unaibu katibu mkuu kwa muda ili kupisha uchunguzi huru na wa haki. Pia Juliana Shonza afanye hivyo. Naamini katika uchunguzi huru na wa haki. Siamini katika hisia, majungu, unafiki, chuki binafsi na tamaa ya vyeo. Ahsante kwa ufafanuzi Mnyika.

Juliana Shonza amesema anaushahidi wa wazi dhidi ya Dr.Slaa.

Sasa nae Dr.Slaa ajiuzulu kupisha uchunguzi
 
John Mnyika pia mmekuwa very slow kurespond any attack,najua hamuwezi kujibu yote lakini kuna baadhi ya tuhuma mnazipa umaarufu bure.

Mfano tuhuma dhidi ya Dr Slaa iliyoandikwa na Tuntemeke kuhusu Mabwepande imefikia page zaidi ya 40 hakuna any respond while huu ujinga unasambaa kwa kasi bila majibu.Naamini mistari mitano tu ingeweza kuzima mjadala.

Tumaini Makene ndio msemaji mkuu humu kwanini msimpe muongozo wa kujibu shutuma zilizo dhahiri ni za uwongo? Au mnataka Dr Slaa ajibu mwenyewe while mnajua lengo kuu ni kumtoa kwenye ujenzi wa chama abaki anapigizana kelele na hawa watoto?
 
Merry xmass kamanda Mnyika. Japo umejibu kisiasa ila ngoja tusubiri huo mchakato wa kichama juu ya hao Masalia na PM7.

KAJIBU VIP KISIASA NA WAKATI HADI UFAFANUZI WA BAADHI YA VIFUNGU VYA KATIBA YA CHAMA AMEKUPA!inavyoonekana umemaliza darasa la saba mwaka huu(multiple choice generation)
 
Avanti, asante kwa maoni yako hata hivyo zingatia kuwa 'press' yangu ipi? Ikiwa wewe kweli ni mwanachama wa CHADEMA na una malalamiko dhidi ya kadi ya Dr Slaa andika rasmi kwa chama. Kabla ya kuandika malalamiko hayo usome kwanza katiba ya CHADEMA, katiba ya CCM na sheria ya vyama vya siasa. Dr Slaa ameshasema wazi kwamba yeye si mwanachama wa CCM, ni mwanachama wa CHADEMA toka alipohama CCM. Mwanachama akihama chama kimoja tayari anapoteza uanachama wake wa chama cha awali, hii ni kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa, katiba za vyama vya siasa na pia hukumu ya mahakama ambayo imewahi kutolewa kuhusu suala la kadi. Ukishazingatia hayo na bado ukaendeleza suala hilo na ikiwa kwenye ni mwanachama utakuwa umeingia kwenye mtego wa kipuuzi wa CCM.

JJ

Correct response to a reasoning person.
 
Avanti

acha mkwala masalio, kukopi koote taarifa ya mnyika kumbe ni pumba tu unaandika - chapa lapa mamluki hawakubaliki!!​
 
Last edited by a moderator:
Hapo nitafurahi kama nikisia wate waluohujumu chama wanafukuziwa mbali....Hapana taka puppet leaders CDM....
 
Juliana Shonza amesema anaushahidi wa wazi dhidi ya Dr.Slaa.

Sasa nae Dr.Slaa ajiuzulu kupisha uchunguzi

Hakuna magugu yoyote yatakayobaki ndani ya chama cha ukombozi.Mwambie huyo Juliana aharakishe kupeleka ushahidi wake huo maana hadi hapa Masalia wote pamoja na kiongozi wao mr Prezoo hawana chao.Heri wajiondoe kabla ya panga kupita.
Panga halitabagua hata Dr Slaa naye akibainika kwenda kinyume kwa kiasi cha kukiathiri chama kama walivyofanya masalia basi naye atawajibishwa.
 
Ushauri wa kukata mzizi wa fitina, Zitto Kabwe avuliwe vyeo vyake vyote ndani ya Chadema na aachwe apime mwenyewe kama anastahili kuendelea kuwa Mwanachadema.

Pili kundi lote la Masalia wafutwe Uanachama wa Chadema na hiyo ndio dawa pekee ya kukata mzizi wa fitina na hawatoongea lugha moja tena. kinyume cha hapo ni porojo na siasa tu na mimi nitaanzisha kundi langu.
 
Hakuna magugu yoyote yatakayobaki ndani ya chama cha ukombozi.Mwambie huyo Juliana aharakishe kupeleka ushahidi wake huo maana hadi hapa Masalia wote pamoja na kiongozi wao mr Prezoo hawana chao.Heri wajiondoe kabla ya panga kupita.
Panga halitabagua hata Dr Slaa naye akibainika kwenda kinyume kwa kiasi cha kukiathiri chama kama walivyofanya masalia basi naye atawajibishwa.

Kama mnataka haki basi Dk.Slaa, Juliana Shonza na Zitto Kabwe waondoke madarakani kwa muda hadi uchunguzi ukamilike, vyenginevyo itakuwa ni kukiuka misingi ya haki na usawa katika sakata hili

Huwezi kamwe kutegemea Juliana Shonza awasilishe ushahidi wake dhidi ya Slaa katika kikao kinachoongozwa na Slaa, na haki itendeke.
 
Safi sana kiongozi nafikiri umekata ngebe za waliokuwa wakiendelea na ushabiki usio na tija kwa chama hasa wapinzani CCM pamoja na wale ambao walishindwa kuzuia hisia zao na kuanza kuleta mada ambazo mahali sahihi pa kusemea ni kwenye vikao.

Hivyo basi mimi ni kiwa ni mmoja wa wanachama wa CHADEMA nimefurahi pamoja na wenzangu ambao tunajua nini kinnaendelea humu JF KIONGOZI MAKINI HATOI WATU WAKE KAFARA KWA MAADUI!! BALI HUWALINDA VILIVYO DHIDI YA MAADUI BADO WATU WANAIMANI NA CHADEMA IKIANZANZA NA MIMI NICHANGAMOTO ZA UKOMBOZI, NA UKOMBOZI UMEKARIBIA!!!!!!!!!!!! MUNGU IBARIKI CHADEMA, MUNGU IBARIKI TANZANIA!!!!!!!!!
 
Juliana Shonza amesema anaushahidi wa wazi dhidi ya Dr.Slaa.

Sasa nae Dr.Slaa ajiuzulu kupisha uchunguzi

We endelea kuwatia kiburi tu hao masalia,huyo Zito hafiki hata theluthi ya uungwaji mkono wa Julius Malema(wa ANC/S.Africa) lakini leo Malema yupo wapi? Huyo rafiki yake Kafulila alilia mpaka kuvuja kamasi,baada ya kupigwa chini uanachama NCCR,angalieni sana, Zito kuna ndugu zake wengi sana wanaishi kwa ajili ya yeye kuwa mwanasiasa.
 
Kwa hiyo unachotaka kifanyike ni ushahidi wa Juliana Shonza dhidi ya Dk. Slaa ukaamuliwe na huyo huyo Dk.Slaa?

Ikishe mseme mnapigania haki?! SMH
Kamati kuu ndiyo itakayounda hiyo tume huru ya uchunguzi na ndiyo itakayotoa maamuzi.
 
Avanti

Mahakama kuu ilishatoa hukumu kwa suala la kadi mbili katika kesi ya C. Wangwe. Mwanachama wa chama A akijiunga na chama B, basi uanachama wake wa chama A unakuwa umekufa. Tatizo, unakurupuka kusema pasipo kwenda maktaba kusoma juu ya suala unalotaka kuchangia.

Je mwl. Nyerere kumpigia kura mbunge wa NCCR-Mageuzi 1995 haikuwa usaliti na unafiki? S.Wasira kuwa na kadi hai ya NCCR-Mageuzi iliyohai sio unafiki?

Kinana kuwa the great poacher huku akiwa kinara wa chama tawala sio unafiki huo? Mbona meli yake haitafishwi kama ile ya samaki wa magufuli?
 
Last edited by a moderator:
Ccm kaeni mkao wa kula oil chafu itakayomwagwa na chadema,tunataka 2013 tuwe na injini mpya !
 
Sana sana, kama hamna kitachotamkwa kuhusu kadi mi najitoa CDM na wewe mwenyewe utakosa kura yangu.

Mimi nadhani unachelewa undoka ata leo wewe pia ni pandakizi hivi kuwa na kadi usiyoilipia ni kosa nani kasema au kanuni ipi ya chama ichochote inasema utakoma kuwa mwanachama kwa kukurudisha kadi halafu eti unamtisha Mnyika kwa hoja nyepesi hivi hujaelewa nini ulipoambiwa uchunguzi unaendelea na hao masalia wenzio washaambiwa walete vielelezo 4 your information mkihongwa HELA mjaribu kurudi pia kwenye sense zenu sababu na akili zenu zimehongwa pia.
 
Back
Top Bottom