Hatua zinaendelea kuchukuliwa kuhusu tuhuma na shutuma zilizotolewa

Si ungemwambia mwenyewe haya mawazo yako? Au peleka kwenye vikao vyenu, au hakuna vikao huko?
 
Mkuu je na wewe ni miongoni mwa wale Masalia?

Tulisikia kuwa umefukuzwa kwenye uongozi na uanachama, vipi tena?

Tulikusikia unataka kugombea urais, je una ubavu wa kupambana na Zitto Kabwe?
 
Mkuu usilalamike sana , tulikwisha sema humu jamvini CDM,M4C na hata kioganaizesheni ni shaghala bagala!
Rudini kwa baba CCM mtakufa njaa bure huko CDM , ambayo sasa inaonekana wazi kuwa mradi wa wakubwa.
Kugombea fungu sasa kuko wazi na kunaonekana hadharani!
Kweli kwenye kadhia penyeza rupia!
 
heeeeh..senema part II imeanza!!! sasa kwann hayo msijadili chamani bwana Deo Kisandu??? kwann kuyaleta huku??? huoni mwazidi kuweka ufa kwenye chama???
 
Na wewe unaamini kuwa kuna chama kinaitwa CDM au mkusanyiko wa wafuasi wa Dr Slaa?
 
Masalia at work!! Mtaangaika weee na maji yenu yanachemke subirini kunyonyolewa!!
 
Mkuu usilalamike sana , tulikwisha sema humu jamvini CDM,M4C na hata kioganaizesheni ni shaghala bagala!
Rudini kwa baba CCM mtakufa njaa bure huko CDM , ambayo sasa inaonekana wazi kuwa mradi wa wakubwa.
Kugombea fungu sasa kuko wazi na kunaonekana hadharani!
Kweli kwenye kadhia penyeza rupia!
Mkuu CCM hatuwataki watu kama hawa, CHADEMA wenyewe hawawataki vijana wa namna hii.

These young people are too cheap and we(CCM) are looking for Potential one(Mnyika type)

Hawa dawa yao ni kuwatumia kama Condom kisha tunawatupa.
 
Nimeona leo kwenye gazeti la Mtanzania(27/12/2012) kwamba kuna virusi ndani ya CHADEMA na watapita kushughulikiwa na kudai hakuna mgogoro ndani ya chama. Kwa kauli hizi za katibu mkuu wa baraza la vijana wa chadema Taifa Bw.Deo Munishi zipo kipropaganda zaidi na zinadhirisha udhaifu wake katika utendaji kazi kwenye Baraza la vijana.

Kwanza kabisa Katibu mkuu wa Bavicha Taifa ameshindwa kuwatetea Makatibu wa Bavicha mikoa ili kushiriki vikao vya Bavicha kwa mujibu wa mwongozo wa mabaraza upande wa BAVICHA ibara ya 6.8.6 wajumbe wa kamati tendaji, ambapo Katibu huyu na safu yake wamekuwa wakikiuka katiba ya chama na kuwaita wenyeviti wa mikoa kwenye vikao vya kamati tendaji kama kilichofanyika Morogoro mwaka huu.

Kikao hicho kilitakiwa kushirikisha Makatibu wa Bavicha mikoa kwa mjibu wa katiba na mwongozo wa mabaraza lakini waliitwa wenyeviti wa mikoa hii ninaweza kuita kama fadhila ya uchaguzi wa Bavicha uliofanyika 2011, ambapo na mimi nilikuwa mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa wa Bavicha.

Namshangaa sana bosi wangu huyu na imenibidi nihoji hata uwezo wake wa
kuliongoza baraza maana anaposema hakuna migogoro wakati kwenye mitandao ya kijamii kama JamiiForum tunasoma kabisa vijana wakilumbana na hata makamu mwenyekiti wa bavicha Taifa Juliana Shoza kuonekana kutofanya kazi na safu yake kisa ikionekana hakuna maelewano baina ya viongozi wa juu wa baraza hilo.

Kwanza katibu huyu hatuoni alichokifanya tangu amekuwa katibu, ametembelea mkoa gani hapa nchini akaomba kukutana na viongozi wote wa bavicha wa majimbo na wilaya na kufanya nao vikao kwa maendeleo ya bavicha? Sioni kama tuna baraza
ila tuna jina la baraza. Kashindwa hata kuwatetea viongozi wa mikoa wa
bavicha kushiriki M4C badala yake kila anayetoka CCM leo anaingia kwenye ziara za M4C na wakongwe kuwekwa pempembeni au kutokufikiriwa na katika Baraza kuna vijana waliogombea ubunge wanauwezo mzuri kabisa wa kuwa kwenye ziara za M4C lakini hawafikiriwi, badala ya kuwatetea leo anasema eti kuna virus.

Sasa makatibu wa Bavicha mikoa wote nchi nzima tunaandaa mkakati wa kuandamana kumtaka atoke kwenye kiti chake cha ukatibu kwani ameshindwa kutetea makatibu wake. Badala yake Makatibu tunafanya kazi kwa kuletewa taarifa na wenyeviti.Tumechoka sasa.

DEOGRATIUS KISANDU

KATIBU WA BARAZA LA VIJANA(BAVICHA) MKOA WA TANGA.
27/12/2012

Wewe una hasira za uchaguzi wa BAVICHA wa mwaka jana. Ben huyu naye si ndiyo wale waliopo kwenye Masalia? Ndugu yangu Kisandu sijaiona kazi yoyote uliyoifanya Tanga ukiwa kama katibu BAVICHA mkoa ukitoa kule kugombea kwako. Ila hata hivyo mwenekiti wa mkoa wako wa chama alishasema kupitia gazeti hilihili kuwa wewe unatumiwa na CCM.
 
BAVICHA kuwatimua viongozi wasio na nidhamu

Mtanzania, Alhamisi, Desemba 27, 2012 04:24 Na Benjamin Masese, Dar es Salaam

BARAZA la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), limesema hakuna mgogoro. Akizungumza Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa BAVICHA, Deogratus alisema, "Kuna uvumi umekuwa ukienezwa kwamba ndani ya Bavicha Taifa kuna mgogoro, hili si kweli kwani viongozi wote wanafanya kazi kwa ushirikiano mkubwa na tupo tayari kumfukuza mtu yeyote yule anayekwenda kinyume na malengo, dhima na dira yetu.

"Kama tunavyofahamu Bavicha ndio nguzo kubwa ndani ya Chadema, kwani vijana wengi Tanzania ni wanachama wetu, hii inatokana na sera yetu ya kupigania ajira, mfumo wa elimu na matatizo yanayowakabili wananchi wote.
.
 
Wewe una hasira za uchaguzi wa BAVICHA wa mwaka jana. Ben huyu naye si ndiyo wale waliopo kwenye Masalia? Ndugu yangu Kisandu sijaiona kazi yoyote uliyoifanya Tanga ukiwa kama katibu BAVICHA mkoa ukitoa kule kugombea kwako. Ila hata hivyo mwenekiti wa mkoa wako wa chama alishasema kupitia gazeti hilihili kuwa wewe unatumiwa na CCM.

Tatizo la CDM ndo hilo. Mkiendekeza kuamini kuwa kila anayedai haki ndani ya Chama, basi anatumiwa na CCM mjue mnajimaliza wenyewe kwani hizo ni dalili za kuishiwa sera.
 
Mkuu CCM hatuwataki watu kama hawa, CHADEMA wenyewe hawawataki vijana wa namna hii.

These young people are too cheap and we(CCM) are looking for Potential one(Mnyika type)

Hawa dawa yao ni kuwatumia kama Condom kisha tunawatupa.
Mwengueni Mnyika kwenye nafasi aliyopo muone kama kweli ni mkamilifu, yule ndo hovyo kabisa, mtu wa kunyenyekea sana kwa mabosi wake.
 
Hatua hizo ni za msingi kabisa, labda cha kuongezea hapo itakuwa vyema kama vithibitisho hivyo vitawekwa hadharani ili waovu hao waumbuke mbele ya umma pasipo kuweka kisingizio kuwa wameonewa.
Jambo lingine la msingi kuna haja ya kuwaangalia sana hawa watu wetu tunaowapokea kwa sasa, si lazima wapewe vyeo. wakae pembeni kwanza kama wanachama wa kawaida kwani tupo katika kipindi cha mapambano makali.
 
Heko Mkurugenzi wa Habari na Uenezi Mh. Mnyika.

Binafsi ninaamini kwamba Chama kinapitishwa na Mwenyezi Mungu katika mtihani wa kuchuja Magugu na Ngano kabla ya mabadiliko makubwa ya kiuongozi kuelekea 2014/2015, maana kama Magugu haya yangechelewa hadi kufikia wakati wa Chaguzi kuu hizo mbili ambazo Wazalendo wa Nchi hii tuna matumaini makubwa ya kuona Mabadiliko makubwa ya kiuongozi yakitokea kwa manufaa ya Watanzania waliowengi na si kikundi kidogo kulichopo sasa cha vigogo wa ccm na watoto wao kama akina Nape, Jnuary M, Mwigulu, Livingstone Lusinde n.k, madhara yake yangekuwa makubwa sana kwa Watanzania walio wengi sana wenye matumaini na Chadema.

Mh. Mnyika, kama wengi walivyoshauri ni kwamba uchunguzi huu na hatimaye hatua kali za kinidhamu zisichukue muda mrefu sana ili tupate muda wa kuendelea kuunganisha Nguvu za Watanzania wapenda mabadiliko.

naomba kuwasilisha.
 
Mimi nilijua kwanza utashuuru nimekupa taarifa za 'ki-intelligensia'! Lakini ukiachilia mbali hilo ambalo mtajuana wenyewe. Wewe kama kiongozi in the making, kwanini hujengi usikivu na utii wa sheria halali za Tanzania? Unawafundisha nini wafuasi wako?
Wewe usitake kupotosha watu na kumtisha Ben the Great. intellegensi yoyote ile isoyo na manufaa kwa CHADEMA ni absolutely nonsense,
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom